Naomba leo nisemezane na wanaume wenzangu………………!

Mbona ishu nyepesi sana? Siyo tu namruhusu bali pia nampongeza na kumsindikiza eapoti kuhakikisha pipa alilopanda limetokomea mawinguni..... Freedom is coming tomorrow! Source: sarafina

mwache akasome wewe mpunguze ujinga wa kuoneana wivu, kutwa wangu wangu kushikiana simu na kusomeana message. Asprin wewe uko juuuu! lol
 
Mbona ishu nyepesi sana? Siyo tu namruhusu bali pia nampongeza na kumsindikiza eapoti kuhakikisha pipa alilopanda limetokomea mawinguni..... Freedom is coming tomorrow! Source: sarafina

You made my midnight babu Asprin. Kinachofuatia hapo anajua Mungu...
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni marufuku katika ndoa yangu kukaa mbali na waifu zaidi ya miezi miwili, achilia mbali kusoma hata kama anapatiwa ajira ya kutandika kitanda cha Obama marekani kama ni nje ya hiyo katiba hapo juu ni marufuku.

Nazani nimeeleweka.
Maandiko yamehimiza tuishi na kinamama kwa machale na ze boss amegusia hapo juu,
far stick never kill snake.

Nimemaliza

Bora wewe umejiamulia mapema klorokwini.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom