Naomba kuuliza nitaweza kupata wapi fuel [petrol] stabilizer hapa Dar es salaam?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Nina generator yangu ambayo siitumii sana; kuna kipindi ili kaa karibu mwaka mzima bila kutumika. Kuja kufungua nikakuta petrol imeharibika na kugandiana kiasi kwamba iliharibu mpaka carburetor, ikabidi kubadilisha.

Katika soma soma mitandaoni nikakuta kuna fuel stabilizer ambazo zinaweza kuongeza maisha ya mafuta hadi kufikia mwaka mizima. Ndio nauliza hapa dar esa salaam naweza kupata wapi? na fuel stabiliza ipi nzuri inapatikana hapa kwetu.

Hii inafaa hata kwa mtu ambaye ana gari yake ambayo haitumii sana kwani wanasema mafuta yanaanza kuharibuka yakikaa mwezi mmoja na kuendelea bila kutumika.
 
Back
Top Bottom