Kwani unafukiwa ukiwa hai au unaona watakuwahisha kabla hujakata roho vizuriKufukiwa chin ndo kunako tisha zaid! Tani 6 mchanga.
Sasa hayo unayosema ya kula bata, je haufikirii kuna uzee wa ukongwe hata kusimama wahitaji msaada, kuna ulemavu wa kukinai maisha, kuna kutaka kukwepa kifungo au madeni nk nk!Nadhani watu wanaogopa wao kutangulia kufa tuu, kama ni kufa kila mtu anajua hvy huwezi kuogopa.
Fikiria, unakufa huku umeacha starehe yako flan hv arggg inaboa huko kifoni mpaka unatamani hy starehe itokomee/ife ndipo nawe ufe.
Theology teaches that man is both body and soul, therefore theologically a man does not die! What we humanly call death is just a separation of body and soul. A soul continues to exist eternally so as God is eternal. For the advocates of eternal fire mind you, soul is a spiritual being, it does not suffer!Moja kwa moja mada yahusika
Hivi msingi wa kuogopa kifo kwa wanadamu ni nini?
Unaweza pata experience yoyote? Kwamba kuna maumivu au baada ya kufa ndio kuna maumivu?
Hata mimi najua nitakufa lakini naogopa kufa sababu sizijui ila naogopa tuu.
Wataalamu wa nadharia za kiroho hebu tumsaidie,hofu ya kifo inaletwa na nini?
Kila siku yanazaliwa malengo mapya, ukikamilisha moja linazaliwa jipya, ukiangalia your goals za miaka 10 au 20 iliyopita sio ya Leo, so hata ukiishi miaka 500 hutakamilisha tuSiogopi kufa.
Sitaki kufa kabla ya kutimiza malengo yangu.
Umenipangia, sio poa.Kila siku yanazaliwa malengo mapya, ukikamilisha moja linazaliwa jipya, ukiangalia your goals za miaka 10 au 20 iliyopita sio ya Leo, so hata ukiishi miaka 500 hutakamilisha tu
😂😂😂.uoga upo au unakuja pale ukiona mwili wa marehemu unavo fukiwa kwa kasii na sumenti ina mwaga juu chap tena ratio kali😅.Kwani unafukiwa ukiwa hai au unaona watakuwahisha kabla hujakata roho vizuri
Sina uwezo wa kukupangia chochote, ila tu ni kawaida ya mwanadamu aki achieve goal moja anazalisha new goals whether ni long-term or short-term.Umenipangia, sio poa.
Hiyo ni broad assumption, ingekuwa hivyo kwa kila mtu kila sehemu watu wasingejiua.Sina uwezo wa kukupangia chochote, ila tu ni kawaida ya mwanadamu aki achieve goal moja anazalisha new goals whether ni long-term or short-term.
Utake usitake kifo kiko palepale mbaya zaidi hakina muda wa kusubiri mpaka ukamilishe malengo fulani.Siogopi kufa.
Sitaki kufa kabla ya kutimiza malengo yangu.
Kwani wapi nimesema kifo hakipo palepale?Utake usitake kifo kiko palepale mbaya zaidi hakina muda wa kusubiri mpaka ukamilishe malengo fulani.
Hakuna anayeweza kukikataa kifo mpaka akamilishe malengo yake hilo sio swala la kutaka au hutaki.Kwani wapi nimesema kifo hakipo palepale?
Umeeelewa hoja yangu?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Hivi nani asiyependa raha za hii dunia waungwana?
Je, nikifa ndo ntolee au kuna pahala naenda kukutana na vitu vitamu zaidi?
...Imagine pale unapokata roho alafu pembeni yako unaiona chupa ya castle lite baridiiiii [emoji23][emoji23], unawaza daah! ndo siioni tena hii kitu... Machozi yanakutoka na roho nayo inaacha mwili, hivi mwenzako aliye pembeni yako akikuona katika hali ile unadhani ataacha kukiogopa kifo?
... Kifo hakizoeleki jamani
Hofu ya kifo ipo kwa watu wengi sababu, dini zote zinafundisha tuone kifo kama ADHABU wakati sio adhabu bali utaratibu (njia) ya kwenda kwa Muumba.Moja kwa moja mada yahusika
Hivi msingi wa kuogopa kifo kwa wanadamu ni nini?
Unaweza pata experience yoyote? Kwamba kuna maumivu au baada ya kufa ndio kuna maumivu?
Hata mimi najua nitakufa lakini naogopa kufa sababu sizijui ila naogopa tuu.
Wataalamu wa nadharia za kiroho hebu tumsaidie,hofu ya kifo inaletwa na nini?
Kila mtu anajua nini kinafuata ila wengi hawana uhakika kama watakidhi viwango vya kwenda sehemu nzuri so wanaingiwa na hofu ya kufa.Kinachotufanya tuogope kufa ni kutokuwa na uhakika baada ya kufa nini kinafuata. Mi pamoja na kuwa na roho ya udadisi na kutamani sana kujua what's real happening after life? Lakini sithubutu kukitaka kifo mapema.
Rebeca 83