Mwl Mkwaya
Member
- May 20, 2011
- 68
- 7
Nurbet, plzz MP contacts za MASTER basi....
Dili nzuri hiyoo
Dili nzuri hiyoo
mimi anataka
kuniuzia laptop aina; dell d630 au d430
min duo core
2.0ghz,ram 2gb,hdd
60gb,ina dvd
rom,blutooth,sd
card,win 7,ms 2010.
Anadai imetumika
kwa muda mfupi,na
anaiuza kwa
350,000/= vipi hii imekaaje?
mimi anataka
kuniuzia laptop aina; dell d630 au d430
min duo core
2.0ghz,ram 2gb,hdd
60gb,ina dvd
rom,blutooth,sd
card,win 7,ms 2010.
Anadai imetumika
kwa muda mfupi,na
anaiuza kwa
350,000/= vipi hii imekaaje?
jAMAA SI kasema anauza brand Neeew sasa hizo used zimetokea wapi tena?
na mimi naomba nambayake aisee na shida na laptop.mkuu tupe no yake au email basi
na mimi naomba nambayake aisee na shida na laptop.
Wadau naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hili,nahitaji computer(laptop) na kutokana na uwezo mdogo,ntaweza kugharamikia Tsh. 300,000/= tu!
Maswali yangu ni je,1.ni laptop za aina gani zinaweza kuwa nzuri?
2.Naweza kupata mpya ama used tu?
Tafadhali kwa yeyote anayejua anisaidie ili nisijepata kimeo.

wakuu nmesha wa pm namba yake.....