Naomba kuuliza,je naweza kupata Laptop nzuri kwa bei ya 300,000?

used unapata kbao.... Kama hz dell latitude d 630 na 620... Hz znakua na gb 80 hd ram 1 gb mpaka 2gb... Then kuna mwana huwa anatokanazo nje yy akija huwa anauza kwa bei nafuu.... Anajiita master fuko then yy hzo dell ikiwa brand new huwa anauzwa kwa 380000 ila ukimshusha unaweza kuchukua kwa 350000, ila hana sehemu ya biashara yy anafanya biznes kupitia mitandao ya kijamii anazo uza yy ni brand new
Vp hauna contact ya huyo master fuko utuwekee
 
Back
Top Bottom