Naomba kuuliza bei ya hii pikipiki

Pembeni ya mada kidogo...
Hizi zinawafaa wamama na kama wanaume basi Wahindi koko/ Wapemba/ Mashombeshombe wale wenye miraba minne
 
Mkuu niliwah kwenda dukan mim na shem wangu ( wakike) mkoan huko alikapenda haka kapikpik....Nakumbuka Tulichukua Mil 3.4 Na hyo ilikua 2014...... Tabora huko Now day sijajua kama imesimama ama imeshuka zaid!!!

Lakin zinatofautiana quality!! Kama ni za india bei inasimama kidogo tofaut! Na za Japan ama Used from uk!!!!

N.B
Bajeti yako isishuke chini ya Mil 2.5 mpka 3M......ndio utaipata hii mashine!!!!!!
 
Waliwakutaa nyie ni wasukumaaa...!
Hiyo haizidi mil 2 tena mpyaa dukanii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…