lugendosisty
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 219
- 102
Habari. Jaman mwenye kujua gereji au fundi Mtaalam anae repair bodi za landrover kwa Dar es salaam anisaidie Namba yake.
CC. MshanaJr
CC. MshanaJr
Mkuu huyu jamaa napenda sana kazi yake. Nisaidie namba yako PM tuongee kidogoKazi ya kurepair body ili ufurahi na iwe ya kuvutia waone Capital Zone 4×4. Huko kwingine utajutia pesa yako gari itapigwa rangi kama geti.View attachment 1469817View attachment 1469818
Si umpigie simu huyo jamaa moja kwa moja namba yake ipo hapo juu kwenye tangazoNasubili PM yako