King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,851
- 95,073
Tar 25 au 26
Hivi sasa tunahesabu saa kuelekea 26/11/2014 siku ambayo tunataraji ripoti ya CAG kusomwa bungeni! Hapahitaji shahada kufahamu kwamba hii itakuwa ni ripoti mbaya kabisa kupata kutokea katika ukanda huu wa Afrika. Hii ni ripoti ambayo Mtanzania hatakiwi kuikosa wakati inasomwa, iwe kupitia TV, radio, internet or else!
Pamoja na yote hayo, wewe unaweza ukatamani kuifuitilia live hiyo ripoti lakini TANESCO wakakutamani zaidi usiifuatilie! Hii ripoti inawa-implicate hadi watu wa TANESCO kwahiyo hujuma may be expected! Wala tusishangae baadhi ya maeneo ya nchi yakiingia gizani kuanzia kesho ili isionekane TANESCO wamekata umeme ili watu wasifuatilie bunge... hivyo basi, busara ya kipumbavu kwao itakuwa ni kukata umeme saa kadhaa or probably a day or two kabla ya tukio lenyewe! Mimi si kama Yericko Nyerere kwamba nasema TANESCO watakata umeme ninachosema ni kwamba wanaweza kuhujumu!
Wale wanaoshinda nyumbani na hata wasioshinda nyumbani mnatakiwa kujiandaa dhidi ya hujuma zinazoweza kutokea ili kuwanyima haki yenu ya kupata habari! Siku hizi simu nyingi zina redio... je, una earphone? Kama huna fanya hima hima kununua kwavile the chance ya kuwepo umeme ni 50%,50%. Je, betri ya simu inahimiri kukaa muda mrefu? Kama hapana, siku hiyo jihdhari matumizi yanayotumia sana betri! Heri unaebaki home unaweza ku-opt kununua betri kwenye radio ingawaje wengine radio zetu hata hiyo sehemu ya kuweka betri hakuna!!!
Don't worry ewe unaeenda kazini! Mjini kati hiyo jumatano itakuwa full heka heka... hakuna bosi atakayekuwa na ubavu wa kuzuia wafanyakazi wake wasifuatilie kinachoendelea Dom... kwanza hata bosi mwenyewe nae atakuwa anafuatilia! Hata wale mnaofanya kazi ambazo moja kwa moja mnakutana na wateja kwenye halls (banks, tel companies etc)... msiwe na wasi wasi; na wateja wenyewe hiyo siku watakuwa busy na watakuja in your halls na earphone zao masikioni.
Ni muhimu ukiifuatilia hii ripoti mwenyewe ili hata utakapojiingiza kwenye mijadala uwe unafahamu unajadili nini... leo hii hapa tukisema tujadiliane scandal ya Richmond ni wachache sana wanaoweza kujadili according to report... wengi tutajadili kwa rejea ya maneno ya kusikia!
Huo ni ushauri tu, ukitaka uchukue na kama vipi upotezee!
Siku hizi hata vikao vya kawaida, huwa watu wanafuatilia kwenye net live so don't worry we endelea tu kupita pita hapa JF lazima utakutana na link ya kusikiliza through the internet!Na sie tulio huku mbali na Bara la Africa. Hii report tutaipataje
Wala usijisumbue ndugu yangu labda kama lengo lako ni kuwapunguzia gharama za magazeti akina mama wauza maandazi na chapati manake utaziacha kwenye dala dala na abiri wenzako wataziacha kama ulivyoziacha wewe... konda atazibeba na kumpa teja mpiga debe ambae ataenda kubadilishana na mama muuza chapati kwa andazi moja!!Printed copy kadhaa kwa ajili ya kuziacha kwenye daladala.
Haitakuwa feki lakini msitarajie eti JK atakuwa implicated moja kwa moja... pamoja na mambo mengine, Jay Key ni mjomba wa hiyari wa Zitto... kwahiyo JK angekuwa implicated moja kwa moja, basi Zitto asingekuwa anaongea kwa confidence kiasi kile!!!#ripoti itakayosomwa itakuwa imesha chakachuliwa na #mohamed_mbaruk kwa ujumla itakuwa feki/ na isiyokuwa na impact yoyote!
Bila shaka mheshimiwa, nitasubiri hiyo link siku hiyo ya jumatano.Siku hizi hata vikao vya kawaida, huwa watu wanafuatilia kwenye net live so don't worry we endelea tu kupita pita hapa JF lazima utakutana na link ya kusikiliza through the internet!
Yaani hilo ni guaranteed... wewe tu na connectivity yako!Bila shaka mheshimiwa, nitasubiri hiyo link siku hiyo ya jumatano.
Siku hizi hata vikao vya kawaida, huwa watu wanafuatilia kwenye net live so don't worry we endelea tu kupita pita hapa JF lazima utakutana na link ya kusikiliza through the internet!
kama zimeanza siasa za kumpiga ban Ndungai na kumpa ofa ya kwenda Paris, hii taarifa unaweza hata isisomwe kwenye hiki kikao.
Vituo vingi tu including tv stations watarusha... tatizo ni audience ni kupata hayo matangazo kutokana na threat ya kukosa nishati.kituo gani kitarusha live kwa Upande wa redio mkuu maana TBC taifa siku zote kikisha kipindi cha maswali na majibu wanakata Matangazo.