MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Watanzania wameuchukua ushauri wako kama ulivyo kwa asilimia 100.
Wakikata umeme watakata na mitambo ya TBC, tumekwisha
Watanzania wameuchukua ushauri wako kama ulivyo kwa asilimia 100.
Kwa ripoti hiyo ya CAG ilivyo, usitarajie hawa jamaa wa TBC wairushe live,ila naamini kile kituo cha luninga ambacho mmiliki wake, aliambiwa na Muhongo kuwa uwezekezaji wake unaishia kwenye kutengeneza vijuisi, nina uhakika wa 100% kituo chake, kitarusha LIVE, tukio hilo kubwa la kihistoria nchini mwetu.kituo gani kitarusha live kwa Upande wa redio mkuu maana TBC taifa siku zote kikisha kipindi cha maswali na majibu wanakata Matangazo.
Hivi sasa tunahesabu saa kuelekea 26/11/2014 siku ambayo tunataraji ripoti ya CAG kusomwa bungeni! Hapahitaji shahada kufahamu kwamba hii itakuwa ni ripoti mbaya kabisa kupata kutokea katika ukanda huu wa Afrika. Hii ni ripoti ambayo Mtanzania hatakiwi kuikosa wakati inasomwa, iwe kupitia TV, radio, internet or else!
Pamoja na yote hayo, wewe unaweza ukatamani kuifuitilia live hiyo ripoti lakini TANESCO wakakutamani zaidi usiifuatilie! Hii ripoti inawa-implicate hadi watu wa TANESCO kwahiyo hujuma may be expected! Wala tusishangae baadhi ya maeneo ya nchi yakiingia gizani kuanzia kesho ili isionekane TANESCO wamekata umeme ili watu wasifuatilie bunge... hivyo basi, busara ya kipumbavu kwao itakuwa ni kukata umeme saa kadhaa or probably a day or two kabla ya tukio lenyewe! Mimi si kama Yericko Nyerere kwamba nasema TANESCO watakata umeme ninachosema ni kwamba wanaweza kuhujumu!
Wale wanaoshinda nyumbani na hata wasioshinda nyumbani mnatakiwa kujiandaa dhidi ya hujuma zinazoweza kutokea ili kuwanyima haki yenu ya kupata habari! Siku hizi simu nyingi zina redio... je, una earphone? Kama huna fanya hima hima kununua kwavile the chance ya kuwepo umeme ni 50%,50%. Je, betri ya simu inahimiri kukaa muda mrefu? Kama hapana, siku hiyo jihdhari matumizi yanayotumia sana betri! Heri unaebaki home unaweza ku-opt kununua betri kwenye radio ingawaje wengine radio zetu hata hiyo sehemu ya kuweka betri hakuna!!!
Don't worry ewe unaeenda kazini! Mjini kati hiyo jumatano itakuwa full heka heka... hakuna bosi atakayekuwa na ubavu wa kuzuia wafanyakazi wake wasifuatilie kinachoendelea Dom... kwanza hata bosi mwenyewe nae atakuwa anafuatilia! Hata wale mnaofanya kazi ambazo moja kwa moja mnakutana na wateja kwenye halls (banks, tel companies etc)... msiwe na wasi wasi; na wateja wenyewe hiyo siku watakuwa busy na watakuja in your halls na earphone zao masikioni.
Ni muhimu ukiifuatilia hii ripoti mwenyewe ili hata utakapojiingiza kwenye mijadala uwe unafahamu unajadili nini... leo hii hapa tukisema tujadiliane scandal ya Richmond ni wachache sana wanaoweza kujadili according to report... wengi tutajadili kwa rejea ya maneno ya kusikia!
Huo ni ushauri tu, ukitaka uchukue na kama vipi upotezee!
Kwa ripoti hiyo ya CAG ilivyo, usitarajie hawa jamaa wa TBC wairushe live,ila naamini kile kituo cha luninga ambacho mmiliki wake, aliambiwa na Muhongo kuwa uwezekezaji wake unaishia kwenye kutengeneza vijuisi, nina uhakika wa 100% kituo chake, kitarusha LIVE, tukio hilo kubwa la kihistoria nchini mwetu.
Siku hizi hata vikao vya kawaida, huwa watu wanafuatilia kwenye net live so don't worry we endelea tu kupita pita hapa JF lazima utakutana na link ya kusikiliza through the internet!
Hivi sasa tunahesabu saa kuelekea 26/11/2014 siku ambayo tunataraji ripoti ya CAG kusomwa bungeni! Hapahitaji shahada kufahamu kwamba hii itakuwa ni ripoti mbaya kabisa kupata kutokea katika ukanda huu wa Afrika. Hii ni ripoti ambayo Mtanzania hatakiwi kuikosa wakati inasomwa, iwe kupitia TV, radio, internet or else!
Pamoja na yote hayo, wewe unaweza ukatamani kuifuitilia live hiyo ripoti lakini TANESCO wakakutamani zaidi usiifuatilie! Hii ripoti inawa-implicate hadi watu wa TANESCO kwahiyo hujuma may be expected! Wala tusishangae baadhi ya maeneo ya nchi yakiingia gizani kuanzia kesho ili isionekane TANESCO wamekata umeme ili watu wasifuatilie bunge... hivyo basi, busara ya kipumbavu kwao itakuwa ni kukata umeme saa kadhaa or probably a day or two kabla ya tukio lenyewe! Mimi si kama Yericko Nyerere kwamba nasema TANESCO watakata umeme ninachosema ni kwamba wanaweza kuhujumu!
Wale wanaoshinda nyumbani na hata wasioshinda nyumbani mnatakiwa kujiandaa dhidi ya hujuma zinazoweza kutokea ili kuwanyima haki yenu ya kupata habari! Siku hizi simu nyingi zina redio... je, una earphone? Kama huna fanya hima hima kununua kwavile the chance ya kuwepo umeme ni 50%,50%. Je, betri ya simu inahimiri kukaa muda mrefu? Kama hapana, siku hiyo jihdhari matumizi yanayotumia sana betri! Heri unaebaki home unaweza ku-opt kununua betri kwenye radio ingawaje wengine radio zetu hata hiyo sehemu ya kuweka betri hakuna!!!
Don't worry ewe unaeenda kazini! Mjini kati hiyo jumatano itakuwa full heka heka... hakuna bosi atakayekuwa na ubavu wa kuzuia wafanyakazi wake wasifuatilie kinachoendelea Dom... kwanza hata bosi mwenyewe nae atakuwa anafuatilia! Hata wale mnaofanya kazi ambazo moja kwa moja mnakutana na wateja kwenye halls (banks, tel companies etc)... msiwe na wasi wasi; na wateja wenyewe hiyo siku watakuwa busy na watakuja in your halls na earphone zao masikioni.
Ni muhimu ukiifuatilia hii ripoti mwenyewe ili hata utakapojiingiza kwenye mijadala uwe unafahamu unajadili nini... leo hii hapa tukisema tujadiliane scandal ya Richmond ni wachache sana wanaoweza kujadili according to report... wengi tutajadili kwa rejea ya maneno ya kusikia!
Huo ni ushauri tu, ukitaka uchukue na kama vipi upotezee!
Tatizo la ITV mara zote vikao vya bunge au serikali related wanavuta kutoka TBC labda waanze kurusha wenyewe hiyo jtano! Kwa wanaotarajia kufuatilia kupitia TV labda wa-rely kupitia Star TVKwa ripoti hiyo ya CAG ilivyo, usitarajie hawa jamaa wa TBC wairushe live,ila naamini kile kituo cha luninga ambacho mmiliki wake, aliambiwa na Muhongo kuwa uwezekezaji wake unaishia kwenye kutengeneza vijuisi, nina uhakika wa 100% kituo chake, kitarusha LIVE, tukio hilo kubwa la kihistoria nchini mwetu.
I think Star TV huwa wanarusha wenyewe moja kwa moja...Ila vituo vingine nafikiri wanarusha kupitia TBC.
I think Star TV huwa wanarusha wenyewe moja kwa moja...
Hivi kashaondoka au ameahirisha tena
Naambiwa kesho ndio anatakiwa awe amesepa