Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 675
- 439
Duh...yes mkuu asogee na huku Lingusenguse kwetu kuna kila kitu anachokitaka!or Hanga seminary ,Namabengo mmmm,or aende Litola!!
Umenikumbusha Hanga monastery
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh...yes mkuu asogee na huku Lingusenguse kwetu kuna kila kitu anachokitaka!or Hanga seminary ,Namabengo mmmm,or aende Litola!!
mkuu huku kwetu Namanyere Nkasi umefika?Daaah wilaya zote Tanzania nimetembea ila Lushoto milimani kule nimekupenda sana.!!
Ofcourse kwa vigezo vyake, kuna maeneo mazuri sehemu zenye baridi zitamfaa zaidi.Sahihi, ila iwe nje ya mji kidogo.
- Ila ukipitia vigezo alivyoweka, DAR inakuwa sio sahihi kwake.
Atakuwa karuka mkojo! Bei ya vyakula Arusha, heri ya Dar.Arusha... ni mji uliochangamka na pesa ipo... but hauna fujo sana kama Dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa nyingi inatumika.
So unaweza kuwa na uzoefu na mkoa gani ambao kwa mtu wa online business akaweza kuishi.
Mkoa wenye internet ya kasi especially TTCL na Tigo
Huduma za kibenk equity na rate ya exchange ya dollar iwe nafuu kidogo.
Shughuli zangu hazitegemei watu zaidi walionizunguka
Pia uhakika wa umeme.
Pia utulivu na uwezekano wa mtu kuwekeza na maana maisha yanabadilika unachotegemea leo kinaweza kukwama.
Gharama ya maisha (upatikanaji wa chakula kwa bei rahisi)
Hapana aisee ile hali ya hewa ya pale haina tofauti kubwa na Dar. Labda kwenye fursa ila hali ya hewa kwangu ni BIG NOMoro haina joto sana kama dar. Ila aliposema fursa kibao nikabak🤔
Huenda na sehem na sehemu..kwangu mm upepo mzuriiiHapana aisee ile hali ya hewa ya pale haina tofauti kubwa na Dar. Labda kwenye fursa ila hali ya hewa kwangu ni BIG NO
Wilaya zote ziko tulivu na zina mabenki.
Joto vipi mkuu? kama vipi mwambie ahame na feni kabisaMuhimu kuliko yote huku maji ni safi yanatoka bombani 24/7, hauna haja ya kununua maji.
Umeme good
Network good.
Utulivu 100%.
NO msongamano.
Hali ya hewa good.
Room single masters 50k - 70k
Inshort.. Everything Is good. Moshi Is heaven on Earth.
Muhimu kuliko yote huku maji ni safi yanatoka bombani 24/7, hauna haja ya kununua maji.
Umeme good
Network good.
Utulivu 100%.
NO msongamano.
Hali ya hewa good.
Room single masters 50k - 70k
Inshort.. Everything Is good. Moshi Is heaven on Earth.
mbinguni?Hakuna sehemu ambayo haina changamoto mkuu. Nakuhakikishia hakuna.
Umeongea vema sana, kuna maisha fulani unapata pesa nyingi lakini zote zinaishia kwenye mahitaji ya kila siku.... na hapo wala hufurahii maisha bali ni struggles tu.
Ila hapo kwenye ‘exchange rates’ kumbe zipo tofauti mkoa kwa mkoa..?
Yanda za juu kusini yaani mbeya iringa njombe songea
Chakula cha kutosha aina vyote
Hali ya hewa ni baridi kipindi chote cha mwaka mazingira kijani fursa za kilimo na biashara
Njombe. Wilaya makete pazuri sana milima mashamba biashara hali ya hewa baridi ila ndio mkoa na wilaya inayoongoza kwa ukimwi kama una familia usiende
Songea kwa familia panakufaa wilaya mbinga kitu kipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Dar pakutafutia hela tu vinginevyo ni matesoSahihi, ila iwe nje ya mji kidogo.
- Ila ukipitia vigezo alivyoweka, DAR inakuwa sio sahihi kwake.
Singida kuna nzi balaaa
Shughuli za mtandaoni... Nimeipenda hii .. Forex is not for everyone.Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa nyingi inatumika.
So unaweza kuwa na uzoefu na mkoa gani ambao kwa mtu wa online business akaweza kuishi.
Mkoa wenye internet ya kasi especially TTCL na Tigo
Huduma za kibenk equity na rate ya exchange ya dollar iwe nafuu kidogo.
Shughuli zangu hazitegemei watu zaidi walionizunguka
Pia uhakika wa umeme.
Pia utulivu na uwezekano wa mtu kuwekeza na maana maisha yanabadilika unachotegemea leo kinaweza kukwama.
Gharama ya maisha (upatikanaji wa chakula kwa bei rahisi)
Joto vipi mkuu? kama vipi mwambie ahame na feni kabisa