Naomba kujuzwa Mkoa na Wilaya Bora ya kuishi kwa utulivu na kuwa na maendeleo

Niliwahi kuishi Same Kilimanjaro na kusahau tatizo la umeme kwa muda, hadi nikasema hawa wanaishi Tanzania au Kenya?
Chakula kipo, ila maji ni tatizo, hapo utasafiri kwenda popote kirahisi ila mzunguko wa pesa ni mdogo.
Shortly, Kilimanjaro is the best kwani watu wake hawana uswahili sanaaaaa, uswahili hurudisha nyuma Maendeleo.
Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa nyingi inatumika.

So unaweza kuwa na uzoefu na mkoa gani ambao kwa mtu wa online business akaweza kuishi.

Mkoa wenye internet ya kasi especially TTCL na Tigo

Huduma za kibenk equity na rate ya exchange ya dollar iwe nafuu kidogo.

Shughuli zangu hazitegemei watu zaidi walionizunguka

Pia uhakika wa umeme.

Pia utulivu na uwezekano wa mtu kuwekeza na maana maisha yanabadilika unachotegemea leo kinaweza kukwama.

Gharama ya maisha (upatikanaji wa chakula kwa bei rahisi)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu Kahama mji wa dhahabu na ndio njia panda inayounganisha karibia nchi 4 zinazopakana na Tanzania ....... hivyo vyote ulivyovitaja vinapatikana
 
Muhimu kuliko yote huku maji ni safi yanatoka bombani 24/7, hauna haja ya kununua maji.
Umeme good
Network good.
Utulivu 100%.
NO msongamano.
Hali ya hewa good.
Room single masters 50k - 70k

Inshort.. Everything Is good. Moshi Is heaven on Earth.
Joto vipi mkuu? kama vipi mwambie ahame na feni kabisa
 
Muhimu kuliko yote huku maji ni safi yanatoka bombani 24/7, hauna haja ya kununua maji.
Umeme good
Network good.
Utulivu 100%.
NO msongamano.
Hali ya hewa good.
Room single masters 50k - 70k

Inshort.. Everything Is good. Moshi Is heaven on Earth.

Mbinguni kuna udongo mwekundu kwani?
 
Exhange rates anazungumzia uwepo wa bank kama equity ambazo anadai zina exhange rate mzuri
Umeongea vema sana, kuna maisha fulani unapata pesa nyingi lakini zote zinaishia kwenye mahitaji ya kila siku.... na hapo wala hufurahii maisha bali ni struggles tu.

Ila hapo kwenye ‘exchange rates’ kumbe zipo tofauti mkoa kwa mkoa..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda hayo maeneo mkuu hautojuta,
Yanda za juu kusini yaani mbeya iringa njombe songea
Chakula cha kutosha aina vyote
Hali ya hewa ni baridi kipindi chote cha mwaka mazingira kijani fursa za kilimo na biashara

Njombe. Wilaya makete pazuri sana milima mashamba biashara hali ya hewa baridi ila ndio mkoa na wilaya inayoongoza kwa ukimwi kama una familia usiende

Songea kwa familia panakufaa wilaya mbinga kitu kipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkoa gani ambao mtu anaweza kuishi ikiwa anajishughulisha na shughuli za mtandaoni na kuhitaji utulivu na gharama ndogo ya maisha maana kuna kupata pesa nyingi halafu ukajikuta yote inatumika kwa mahitaji ya kila siku kwani hapa nilipo (Dar) ni kama gharama ya maisha kila siku ni kubwa pesa nyingi inatumika.

So unaweza kuwa na uzoefu na mkoa gani ambao kwa mtu wa online business akaweza kuishi.

Mkoa wenye internet ya kasi especially TTCL na Tigo

Huduma za kibenk equity na rate ya exchange ya dollar iwe nafuu kidogo.

Shughuli zangu hazitegemei watu zaidi walionizunguka

Pia uhakika wa umeme.

Pia utulivu na uwezekano wa mtu kuwekeza na maana maisha yanabadilika unachotegemea leo kinaweza kukwama.

Gharama ya maisha (upatikanaji wa chakula kwa bei rahisi)
Shughuli za mtandaoni... Nimeipenda hii .. Forex is not for everyone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom