Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Hivi watu wenye degree ya optometry wana chama Chao kama ilivyo MCT??

na je wanatambulikaje kama ilivyo MD...wanaanza na neno Dr,vipi kwa upande wa optometry?
Mkuu Chama cha Madaktari/Madaktri meno na Wote allied science wnaingia kwenye MCT..
Hapna Hawaanzi Kwa prefux ya Doctor ila kwa sasa wanaoanza na prefix hiyo ni AMO (wa bachelor ya sio Wa advance dip) ,MD/MBBS. Bhasi
 
Sasa hao AMO wa bachelor kwann walipwe mishahara sawa na hawa AMO wa miaka2 wakati tofauti ipo?
 
Sasa hao AMO wa bachelor kwann walipwe mishahara sawa na hawa AMO wa miaka2 wakati tofauti ipo?
Bado kuna kesi zinaendelea kusikilizwa huko MCT japo najua hawawezi kushinda..Maana sana concern kama yako hivyo hivyo.?
Japo kwa sasa Amo wote hupewa prefix ya Dr..
IMG-20221224-WA0081 (2).jpg
 
Course zote za MMED ndo zinapelekwa kwenye TGHS G ila Zingine Za Msc zinapelekwa TGHS F...
Kwahyo MD atatoka kwenye TGHS E kwenda F ...
Ila mara nyingi wanaosoma hizo vitu wanakuwa Ma-DMO au Ma-RMO au wameahidiwa hivyo vyeo ....
Kwahyo wanacheza kwenye 1.8Mil na ushenzi hivi inaweza ikafika 1.8mil na elfu 40 au elfu 50
View attachment 2778096
Hela ndogo jamani si bora nikawe mfanyabiashara kariakoo
 
Hapana mkuu Sio Daktari..
Anafahamika kama Afisa Technolojia kama walivyo Wataalamu wa Maabara,Viungo bandia na Wataalamu wa mionzi...

Daktari ni Mwenye Bachelor Ya MBBS au MD

Hapo kwenye Number 3...Ophthalmologist ni dakari (Aliyemaliza bachelor na kuamua kwenda kuchukua Master ya Opthalmology)...

Kuhusu Mshahara wa Afisa Technoljia Macho (mwenye bachelor ya Optometry) Ataanza na mshahra wa Scale ya TGHS C ......
Ambao kwa mshahara wa Mwaka 2015 ilikuwa ni basic 980,000/= baada ya ongezeko Nadhani wanachukua 1mil na ushee ikiwa ni basic...

View attachment 2777201
Mkuu naona mambo yamebadilika
778921239.jpg
 
Hii umetoa wapi mkuu Nahisi wameajiriwa kwenye Mashiriki ila sio Tamisemi na Wizara
Ni wizara mkuu, tena ajira mpya zimetoka leo, ila kwa hapo hao wa viungo bandia sidhani kama watapata huyo mwenye degree, maana diploma chuo kipo kimoja wanachukua kwa mwaka around 15 na hapo 1/3 ni raia wa nje.
 
Wapo viungo bandia mkuu Na nimepitia hiyo Pdf Hakika vijana wachangamkie maana wakija TAMISEMI ni mwendo wa TGHS C kwahyo kama Wapo Bora wawahi WIZRA WAKO VIZURI SANA SCALE ZAO ILA KWA TAMISEMI BADO HAWAJAREKEBISHA...
 
Ila sio sawa kuwalipa TGHS C kwa kozi zile ambazo wanasoma miaka minne kama nursing, optometry, physiotherapy nk

Wawekwe kwenye TGHS D
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom