Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Ni daktari pia...

1.optician ndio anasomea kuchonga miwani

2.optometrist,anachonga miwani pamoja na kutibu magonjwa yote ya macho.

3.opthalmologist anafanya yote hapo juu pamoja na surgery za macho.
Hapana mkuu Sio Daktari..
Anafahamika kama Afisa Technolojia kama walivyo Wataalamu wa Maabara,Viungo bandia na Wataalamu wa mionzi...

Daktari ni Mwenye Bachelor Ya MBBS au MD

Hapo kwenye Number 3...Ophthalmologist ni dakari (Aliyemaliza bachelor na kuamua kwenda kuchukua Master ya Opthalmology)...

Kuhusu Mshahara wa Afisa Technoljia Macho (mwenye bachelor ya Optometry) Ataanza na mshahra wa Scale ya TGHS C ......
Ambao kwa mshahara wa Mwaka 2015 ilikuwa ni basic 980,000/= baada ya ongezeko Nadhani wanachukua 1mil na ushee ikiwa ni basic...

IMG-20231009-WA0007.jpg
 
Hapana mkuu Sio Daktari..
Anafahamika kama Afisa Technolojia kama walivyo Wataalamu wa Maabara,Viungo bandia na Wataalamu wa mionzi...

Daktari ni Mwenye Bachelor Ya MBBS au MD

Hapo kwenye Number 3...Ophthalmologist ni dakari (Aliyemaliza bachelor na kuamua kwenda kuchukua Master ya Opthalmology)...

Kuhusu Mshahara wa Afisa Technoljia Macho (mwenye bachelor ya Optometry) Ataanza na mshahra wa Scale ya TGHS C ......
Ambao kwa mshahara wa Mwaka 2015 ilikuwa ni basic 880,000/= baada ya ongezeko Nadhani wanachukua 1mil na ushee ikiwa ni basic...

View attachment 2777201
Anhaaa nashukuru sana chief kwa kunielewesha....hio Scale ni sawa na shingap??
 
Back
Top Bottom