Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Hakuna hizo posho kwa Afya maana Afya wanabudget ambayo ceiling yake inategemeana na mapato na Kuna vitu vingi sana sema kiethics vingine siwez kusema..
Lakini itoshe kusema tu kwamba hakuna FIXED posho
Chief sorry...nimehangaika kusaka vyuo vya degree nilipata vya india(garama ni kubwa mno)
Kwa uganda niliskia makerere wanatoa(competition kubwa mnooo)

Vipi unajua vyuo vya Kenya vinavyotoa degree ya optometry??
Kama pia una mtu anaesoma huko unamjua nitashukuru ukiniunganisha nae...
 
Hizo posho utazikuta majeshini [emoji23] [emoji23]
Jeshi gani labda au unasemea hawa polisi? haha

Mie nilipo huku napokea
Housing
Transport
Meal
Telephone
Risk
Special Cadre
hizo zote ni fixed.
 
Jeshi gani labda au unasemea hawa polisi? haha

Mie nilipo huku napokea
Housing
Transport
Meal
Telephone
Risk
Special Cadre
hizo zote ni fixed.
Ni sawa...

Lakini majeshi yote wanapokea house allowance,risk allowance,meal allowance,kuna allowance ya vinywaji pia..

Na allowance nyengine zinatokana na kitengo au majukumu
 
Ni sawa...

Lakini majeshi yote wanapokea house allowance,risk allowance,meal allowance,kuna allowance ya vinywaji pia..

Na allowance nyengine zinatokana na kitengo au majukumu
Pia kuna professional allowance
 
MD wa muhimbili hafiki hata nusu ya mshahara wa MD pale lugalo au mirambo

Analipwa transport allowance anarudi home na TDI

House allowance inawekwa bado nipo maangani tena ya standard nzuri kabisa

Bado posho ya wageni

Posho ya vinywaji

Etc etc etc

Watu wanakula maisha wazee acheni masihara

adhani code imeeleweka 😂😂😂
 
adhani code imeeleweka [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ipo wazii...majeshini unakuta askari form4 plain anamzidi daktari wa tamisemi kwa mshahara [emoji23]

Hapo hujasemea hawa wenye professional ndio balaa
 
Hiyo ipo wazii...majeshini unakuta askari form4 plain anamzidi daktari wa tamisemi kwa mshahara [emoji23]

Hapo hujasemea hawa wenye professional ndio balaa
Kumbe jeshini Kuna masilahi?? Ndomana Kila Kona ya mji ukiuliza hiyo nyumba inayojengwa yanani utajibiwa ni ya mwanajeshi
 
Yeah.Wanapanda na unatakiwa kupanda kama Unajaza vizuri oprass na huna majanga wala mabarua na sifa unazo unapanda...
Kama hawajakupandisha unatakiwa kuuliza tatizo ni nini kwa mwajiri wako (Kwa mujibu wa Standing order for public services ya 2009)
Hivi kwenye masters ambazo kozi nyingi wanaweza soma kama public health, biostatistics, epidemiology nk inakuwaje kwenye salary scale au haiongezi kitu ?
 
Hivi kwenye masters ambazo kozi nyingi wanaweza soma kama public health, biostatistics, epidemiology nk inakuwaje kwenye salary scale au haiongezi kitu ?
public health kwa majeshini wanapewa 1.8 M kama basic
 
public health kwa majeshini wanapewa 1.8 M kama basic
Lakini masters ya public health nurse, laboratory scientist, MD anaweza soma kwahyo hawa wote wanapata 1.8M ??

Au ulikuwa ukimaanisha bachelor of public health
 
Hivi kwenye masters ambazo kozi nyingi wanaweza soma kama public health, biostatistics, epidemiology nk inakuwaje kwenye salary scale au haiongezi kitu ?
Course zote za MMED ndo zinapelekwa kwenye TGHS G ila Zingine Za Msc zinapelekwa TGHS F...
Kwahyo MD atatoka kwenye TGHS E kwenda F ...
Ila mara nyingi wanaosoma hizo vitu wanakuwa Ma-DMO au Ma-RMO au wameahidiwa hivyo vyeo ....
Kwahyo wanacheza kwenye 1.8Mil na ushenzi hivi inaweza ikafika 1.8mil na elfu 40 au elfu 50
Screenshot_20231010-211341.png
 
Course zote za MMED ndo zinapelekwa kwenye TGHS G ila Zingine Za Msc zinapelekwa TGHS F...
Kwahyo MD atatoka kwenye TGHS E kwenda F ...
Ila mara nyingi wanaosoma hizo vitu wanakuwa Ma-DMO au Ma-RMO au wameahidiwa hivyo vyeo ....
Ni kweli...
 
Hivi CO mshahara wao ni shingap tamisemi
Tamisemi na Wizara ya afya Kote Kwa wanaoanza wanalipwa TGHS B1 ambayo ni 680,000/- kwa mshahara wa mwaka 2015 ila kwa ongezeko la 2022 nadhani wanachukua 740 na kitu hivi ksma basic
 
Tamisemi na Wizara ya afya Kote Kwa wanaoanza wanalipwa TGHS B1 ambayo ni 680,000/- kwa mshahara wa mwaka 2015 ila kwa ongezeko la 2022 nadhani wanachukua 740 na kitu hivi ksma basic
Kaka hebu naomba unipe mwanga kuhusu bachelor ya clinical medicine nchini Kenya au uganda..

1.hivi ni kozi ya miaka mingapi
2.vigezo vyao vipoje vya kujiunga na masomo
3.ukirudi bongo wanaitambua??
4.vyuo vinavyotoa hio kozi ni vyuo gani?
5.ada ya kusoma ni shingapi?
6.mwisho kama una connection na mtu anaesoma huko naomba uniunganishe..
 
Back
Top Bottom