Naomba kujuzwa mishahara ya watu waliosomea degree ya optometry

Kaka hebu naomba unipe mwanga kuhusu bachelor ya clinical medicine nchini Kenya au uganda..

1.hivi ni kozi ya miaka mingapi
2.vigezo vyao vipoje vya kujiunga na masomo
3.ukirudi bongo wanaitambua??
4.vyuo vinavyotoa hio kozi ni vyuo gani?
5.ada ya kusoma ni shingapi?
6.mwisho kama una connection na mtu anaesoma huko naomba uniunganishe..
Thread 'Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)' Niulize chochote kuhusu Bachelor of Clinical Medicine and Surgery (BCMS)
 
Yeah Shukrani sana umenisaidia nilikuwa nautafuta huu uzi niushee.......
Sema kuna vya kuongezea kidgo
  • Kuhusu Miaka kuna vyuo vinatoa miaka miwili kwa CO kiko malawi na masinde murilo Kinatoa Miaka 2 na nusu kwa CO ika vingi ni 3 na miaka 4
  • Mshahara ni TGHS C na Sio TGHS D
  • Kutambulika ni kama AMO
  • Ada kwa masinde murilo ndo nachokujua sana bcuz kuna Watu tunafnya nao kazi walisoma hapo ni 65,000/ Ksh na inalipwa Kwa trimester na ziko 3...
 
Kaka hebu naomba unipe mwanga kuhusu bachelor ya clinical medicine nchini Kenya au uganda..

1.hivi ni kozi ya miaka mingapi
2.vigezo vyao vipoje vya kujiunga na masomo
3.ukirudi bongo wanaitambua??
4.vyuo vinavyotoa hio kozi ni vyuo gani?
5.ada ya kusoma ni shingapi?
6.mwisho kama una connection na mtu anaesoma huko naomba uniunganishe..
Ungejaribu kuomba vyuo vya Uganda vya public ada ni ndogo M 2-2.5 ...bachelor of medicine and bachelor of surgery MBChB
 
Yeah Shukrani sana umenisaidia nilikuwa nautafuta huu uzi niushee.......
Sema kuna vya kuongezea kidgo
  • Kuhusu Miaka kuna vyuo vinatoa miaka miwili kwa CO kiko malawi na masinde murilo Kinatoa Miaka 2 na nusu kwa CO ika vingi ni 3 na miaka 4
  • Mshahara ni TGHS C na Sio TGHS D
  • Kutambulika ni kama AMO
  • Ada kwa masinde murilo ndo nachokujua sana bcuz kuna Watu tunafnya nao kazi walisoma hapo ni 65,000/ Ksh na inalipwa Kwa trimester na ziko 3...
Nimeusoma huo uzi wote nimeona kigezo cha gpa kiwe above 3 et ...hii imekaaje?
 
Dah naitaka lakini ninefatilia vyuo vya india ni pasua kichwa garama sio chini ya 8M kwa mwaka
Vipo vyuo kenya masinde muliro wanatoa india mbna mbali sana
Screenshot_20231011-204935.png
 
Aisee kwanza nashukuru kwa hili...maana nilijua chuo ni makerere tuu...

Halafu la pili hebu naomba unisaidie kudadavua hivo vigezo vyao hapo ukicompare na mpangilio wa marks zetu kibongobongo..
Unatumia equivalent au ni fresher...Nafikiri Unatakuwa upate kwanza NOC (no objection certificate kwanza kutoka TCU) then ndo uende TCU ya kenya wahakiki Vyeti pamoja na kuvifanyia equivalent na siku hizi wanafanya online
 
Kuna mbongo yoyote anaesoma hapo unamfahamu chief...uniunganishe nae??
 
Chief kuna jamaa amenuuliza kuhusu wataalamu wa ganzi level ya degree wanalipwaje?.naomba msaada kujua
Kuna jamaa nimempata Wa MMUST ila yeye anasoma MD na mwingine anasoma Engeeneer nikuunganishe..?..

Anaest..Bado hawajaipangia Taaluma Sahihi na ndo maana bado Imejishikiza kwenye Taaluma Nyingine..
Kwa mfano kwa sasa tuna...
Nurse Anaest...
Au Anaest...Specialist (Ambaye ni MD plus Msc in Anaeste...)..
So atalipwa kulingna na Fani aliyoingia nayo kama ni nurse basi atakula Mshahara wa nurse e.t.c....
 
Duh noma mzee..
Minitafutie tuu uniunganishe na wa optometry mkuu nitashukuru
 
Kuna jamaa nimempata Wa MMUST ila yeye anasoma MD na mwingine anasoma Engeeneer nikuunganishe..?..

Anaest..Bado hawajaipangia Taaluma Sahihi na ndo maana bado Imejishikiza kwenye Taaluma Nyingine..
Kwa mfano kwa sasa tuna...
Nurse Anaest...
Au Anaest...Specialist (Ambaye ni MD plus Msc in Anaeste...)..
So atalipwa kulingna na Fani aliyoingia nayo kama ni nurse basi atakula Mshahara wa nurse e.t.c....
Hivi watu wenye degree ya optometry wana chama Chao kama ilivyo MCT??

na je wanatambulikaje kama ilivyo MD...wanaanza na neno Dr,vipi kwa upande wa optometry?
 
Back
Top Bottom