ahsante sana mkuuNgoja nikusaidie
Ili mwanafunzi ahame kutoka one institute to another ni lazima awe na vigezo vifuatavyo
1.Awe na matokeo yote ya semester kwa level husika. Na asiwe na kiporo chochote either supp/repeat module
2. Awe ameclear na chuo anachotoka maana ake hadaiwi chochote.
3.Awe amepata nafasi katika chuo aendacho, maana ake barua yake imepitishwa na principle wa chuo aendacho
Mwisho kuhama Kuna muda wake maalumu yaana transfer window ikifungwa huwezi hama hadi lkgunguliwe
kutoka private kwenda gvt kozi ni clinical medicine diplomaMkuu naomba uwe specific upo GVT au PRIVATE na programme gani? Ili wajuzi wakupo muongozo
ahsante sana mkuuNgoja nikusaidie
Ili mwanafunzi ahame kutoka one institute to another ni lazima awe na vigezo vifuatavyo
1.Awe na matokeo yote ya semester kwa level husika. Na asiwe na kiporo chochote either supp/repeat module
2. Awe ameclear na chuo anachotoka maana ake hadaiwi chochote.
3.Awe amepata nafasi katika chuo aendacho, maana ake barua yake imepitishwa na principle wa chuo aendacho
Mwisho kuhama Kuna muda wake maalumu yaana transfer window ikifungwa huwezi hama hadi lkgunguliwe
Je kuhama na kubadili kozi inawezekana.Ngoja nikusaidie
Ili mwanafunzi ahame kutoka one institute to another ni lazima awe na vigezo vifuatavyo
1.Awe na matokeo yote ya semester kwa level husika. Na asiwe na kiporo chochote either supp/repeat module
2. Awe ameclear na chuo anachotoka maana ake hadaiwi chochote.
3.Awe amepata nafasi katika chuo aendacho, maana ake barua yake imepitishwa na principle wa chuo aendacho
Mwisho kuhama Kuna muda wake maalumu yaana transfer window ikifungwa huwezi hama hadi lkgunguliwe
Inawezekana ila awe na vigezo husika na kozi na pia kozi hiyo iwepo katika chuo hicho.Je kuhama na kubadili kozi inawezekana.
#MaendeleoHayanaChama