Naomba kujuzwa kuhusu kupalilia Mahindi kwa kutumia viuatilifu

Niwape mfano: utaona lazima udongo uwe tifu tifu. Ni ya kupalilia si ya kulima shamba mpya
Rukwa nadhani branch ya mufindi itakuwa karibu na wewe. Safi sana umeamua kufuatilia hizi mashine kwa undani. Usikose kutembelea maonesho yajayo ya 88 mbeya, moro au Arusha kuna mashine nyingi sana na bei zake ni za kawaida sana tofauti wengi wanavyofikiri. Ukiwa na hii mashine unaajiri mtu mmoja tu na kumpa mafuta badala ya kumlipa elfu 40 kwa acre unamlipa 10 tu, unajikuta Kama una shamba acre 30 ndani ya miezi 3 mashine imeshajinunua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lonagro wanauza million karibia mbili. Za kichina laki nne. Ila Sema ukweli, huwezi kulimia shamba jipya bali kupalilia. Aidha sehemu lazima isiwe na mawe mawe. Mimi ni kapuku wa ukulima
 
Lonagro wanauza million karibia mbili. Za kichina laki nne. Ila Sema ukweli, huwezi kulimia shamba jipya bali kupalilia. Aidha sehemu lazima isiwe na mawe mawe. Mimi ni kapuku wa ukulima
Mkuu hizi mashine nilizikuta na kuuliza bei mimi mwenyewe, nilikwenda kwa wachina wao bei ni 1m fixed. Ukikutana na agent anaweza kukupa bei ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jembe linatumia diesel kiasi gani kupalilia eka moja?
Hizi machine karibu zote zinatumia petrol, ila zipo za two strokes na za four stroke.
Za muundo wa two strokes ni bora kuliko za four ila hazina tank la oil hivyo inalazimu kuchanganya na petrol, kuepuka hilo tafuta ya four
strokes
 
Naona ni mambo ya ki-engineer zaidi..
Unanikumbusha module ya Tractor power kwenye kilimo
 
Ikinyesha mvua kubwa baada ya kupanda mahindi, unapiga dawa inaitwa MAGUGUMA. Maguguma.

Maguguma huzuia mbegu za palizi zisiote kwa mwezi mmoja hivyo wakati ikianza kuota tayari mahindi yatakuwa na zaidi ya cm 60. Palizi ikiota wakati huo nyunyizia dawa ya magugu inayojulikana kama 2'4- D.

2,4-D hii huua majani yenye asili ya majani mapana na hukausha kabisa na kufanya mahindi yakue mpaka kufikia hatua ya kuchanua na kubeba huku palizi inayokuwepo ni ile yenye asili moja na mahindi(majani membamba). Baada ya mahindi kubeba nyunyizi dawa MERAXONE.

MERAXONE huua majani ya aina zote hivyo wakati wa kunyinyizia bomba liwe chini ili kutokuunguza mahindi upande Wa juu kwenye majani. Ukipiga dawa hii majani yote yatakayoguswa na dawa yataungua na kufanya shamba kuwa huru mpaka wakati Wa kuvuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukifuata kanuni bora za kilimo cha mahindi na mvua zikanyesha bila kusuasua wala kuzidi unatakiwa kupata kiwango cha chini gunia 20 za kg 100 na makimum ni mpaka gunia 52 za kg 100 kwa shamba la heka moja yenye 4900²m
Wadau naomba kupata uzoefu wenu katika kilimo cha mahindi kwa wakulima hususan wenye hekal chahe,
Hivi kwa hali ya kawaida hekali moja inatakiwa kutoa gunia ngap za mahindi.

Coz mwaka juzi niliwahi kusimamia shamba la ndg angu, ambaye alilima hekali 4, kwa mbegu zile ''seedco" +mbolea ya samadi, lakin mwisho wa siku 2kapata gunia 16 hiv kamil na debe chache.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rukwa nadhani branch ya mufindi itakuwa karibu na wewe. Safi sana umeamua kufuatilia hizi mashine kwa undani. Usikose kutembelea maonesho yajayo ya 88 mbeya, moro au Arusha kuna mashine nyingi sana na bei zake ni za kawaida sana tofauti wengi wanavyofikiri. Ukiwa na hii mashine unaajiri mtu mmoja tu na kumpa mafuta badala ya kumlipa elfu 40 kwa acre unamlipa 10 tu, unajikuta Kama una shamba acre 30 ndani ya miezi 3 mashine imeshajinunua

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi inaweza kutumia wastani wa lita ngapi za mafuta kwa kila ekari moja?
 
Ambapo kwa siku inaweza kupiga kazi ekari ngapi kwenye eneo lenye majani ya kawaida?
Inategemeana na thickness ya vegetation, kwa thick brush yenye vimiti miti unaweza piga zisizidi mbili ila kama ni majani mepesi has yale mabichi ukiweka zako 2T blade unapiga hata heka 5. At least kwa uzoefu wangu, ila wanashauri usitumie mda mrefu, hasa hizo za kuvaa mgongoni, taratibu zinakuletea shida ya mgongo.
Screenshot_2020-02-14-14-53-59-110_com.miui.videoplayer.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom