Naomba ushauri kuhusu umwagiliaji kwa kutumia sola

nao

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,832
1,943
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekuwa na mvua ambazo hazitoshelezi, imepelekea niwaze kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji wa pampu ya solar japo nimeshafanya huko nyuma kwa kutumia petrol.

Sasa naomba kwa mwenye uzoefu na hizi pampu ufanyaji kazi wake uko vizuri? Nisaidieni wenye uzoefu kabla sijawekeza huko?
 
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekua na mvua ambazo hazitoshelezi, imepelekea niwaze kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji wa pampu ya solar japo nimeshafanya huko nyuma kwa kutumia petrol.

Mshana Jr
 
Madam nao, ukiwa na solar yenye uwezo mkubwa Kama watt 150 au 200, pamoja na betri za kutosha 2 kwa ajili ya kuhifadhia nishati ya moto basi utafanya kazi vizuri sana.

Lakini pia ninasikia solar inaeza unganishwa na water pump zile nyaya, so itakuwa ina operate kiasi chake, huku unatunza moto kwenye battery.

Ila Kama ni uwekezaji mkubwa na umejipanga Basi solar is the best kwa sababu utapata nishati ya umeme bure,
 
Maneno mazuri haya
 
Asante sana ubarikiwe.
 
Kutokana na mabadiliko ya tabia ya nchi kumekua na mvua ambazo hazitoshelezi, imepelekea niwaze kuingia kwenye kilimo cha umwagiliaji wa pampu ya solar japo nimeshafanya huko nyuma kwa kutumia petrol.

Sasa naomba kwa mwenye uzoefu na hizi pampu ufanyaji kazi wake uko vizuri? Nisaidieni wenye uzoefu kabla sijawekeza huko?
Solar inafanya vizuri ila uwekezaji wa mwanzoni lazima ujipange.
Ntakupa mfano kidogo then utalinganisha na shamban kwako .
Kwa mwenye kisima aliyechimba labda Cha MITA 100 kwenda chin anatakiwa awe na pump angalau ya 1hp na kuendelea Ili apate discharge ya kutosha, hapa pia kisima kiwe na maji yakutosha .
2. Hapo pannel za solar inayoweza kuendesha hiyo pump kama ni zile za 200w utakuta karibu panel 6 hadi 10 . Hapo utapiga bajeti yako.
3. Kama utataka kutumia Moja kwa moja umeme wa solar hutaitaji betri ila kama utataka kutumia ac basi batri itakulazimu japo zinabei .
4. Kulingana na chaguo lako hapo juu pia kuwa na mbadala ikitokea Hali ya hewa sio rafiki kwa solar kufanya kazi.
5. Ukiweza kuwa stable kwa hizo vitu basi jua solar utapambana .
Pia kumbuka solar iwe inakusaidia kujaza maji kwenye matank juu Ili Hali ikibadilika unakuwa na pressure tayari inakusubiri ww kuitumia mda wowote. Pia kama utatumia Moja kwa moja kuachilia maji wakati wa jua shamban sio mbaya ni ww tu na mipango yako
 
Mkuu nikitaka kutumia betri itahitajika ya size gani kwa huo mchanganuo
 
Asante sana, kisima tayari kirefu kipo, hizo betri hua zinaenda kwa bei gani? Na kampuni ipi mzuri ya solar ni nzuri.
 
Hapo mfano ukiwa na betri ya 200AH inaweza kusave kias
Ok simple math kwa battery hii inamaana hapo battery inatumia Volt 12 so ukitaka kujua kiasi Cha umeme kinachotumiwa na pump ni
1 . Chukua kama pump yako ni 1hp sawa na 750W hapo p=iv
750w/12v ni sawa na 62.5A
2. Tumepata kiasi Cha umeme wa pump ni 62.5A .
3. hivyo kupata kujua kwenye battery yako ya 200ah itachukua mda gani kumaliza chaji.
Chukua 200Ah/62.5A sawa na 3.2hrs .

So tumeona kwa battery ya 200Ah na pump ya 1hp ndani ya masaa matatu utakuta battery low so jua hapo ni kuwa battery ikiwa full Sasa kama battery magumashi jua hapo masaa yatapungua sababu loss inakuwa kubwa
 
Asante sana, kisima tayari kirefu kipo, hizo betri hua zinaenda kwa bei gani? Na kampuni ipi mzuri ya solar ni nzuri.
Battery mfano ya 100ah Kuna za mpaka 500k.
Kwa 200ah mpaka 1m inategemea na brand na season pia
 
  • Thanks
Reactions: nao
Madam nao, ukiwa na solar yenye uwezo mkubwa Kama watt 150 au 200, pamoja na betri za kutosha 2 kwa ajili ya kuhifadhia nishati ya moto basi utafanya kazi vizuri sana.

Lakini pia ninasikia solar inaeza unganishwa na water pump zile nyaya, so itakuwa ina operate kiasi chake, huku unatunza moto kwenye battery.

Ila Kama ni uwekezaji mkubwa na umejipanga Basi solar is the best kwa sababu utapata nishati ya umeme bure,
Mkuu unaongea usivovijua yaa wat 150 itembeze pamp ya kumwagilia shamba
 
Ok simple math kwa battery hii inamaana hapo battery inatumia Volt 12 so ukitaka kujua kiasi Cha umeme kinachotumiwa na pump ni
1 . Chukua kama pump yako ni 1hp sawa na 750W hapo p=iv
750w/12v ni sawa na 62.5A
2. Tumepata kiasi Cha umeme wa pump ni 62.5A .
3. hivyo kupata kujua kwenye battery yako ya 200ah itachukua mda gani kumaliza chaji.
Chukua 200Ah/62.5A sawa na 3.2hrs .

So tumeona kwa battery ya 200Ah na pump ya 1hp ndani ya masaa matatu utakuta battery low so jua hapo ni kuwa battery ikiwa full Sasa kama battery magumashi jua hapo masaa yatapungua sababu loss inakuwa kubwa
Holly Star
 
Mkuu unaongea usivovijua yaa wat 150 itembeze pamp ya kumwagilia shamba
Pia tambua wengi wanaweka battery nyingi kuongeza mda wa kufanya Kaz na yote ni mahesabu hufany kitu sababu umeona jirani kafanya na Hilo ni tatizo. Muhimu kumshauri mtu plan zote ajipange kulingana na mfuko wake
 
Nimefunga solar ya gharama ya 12 miln kwenye shamba la jamaa yangu la miparachichi kama shamba lako lipo mbali na chanzo cha maji jiandae kununua armoured cable, unatakiwa kuwa atleast na 1kw kama pannel 5 za watt 200 ambazo moja ni kama laki3 ama nne inategemeana na ubora. Uwe na undergeound cable suggestion armoured cable. Hizi cable zina gajarama mbwa haruki. Bado pump, solar haina haja ya battery ila unatakiwa uzidishe kama pump ni 1kw basi angalau uwe na system ya 1.5kw sababu kuna siku kunakuwa na mawingu utakuwa haupati nguvu ya kutosha
 
Back
Top Bottom