dontech
Member
- Jan 4, 2020
- 90
- 59
sie tunao lima mpunga tunaweza pata hayo majembe mkuuDaisy Llilies vizuri umeshare hii kitu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sie tunao lima mpunga tunaweza pata hayo majembe mkuuDaisy Llilies vizuri umeshare hii kitu mkuu
Mungu akubark sanaWakuu Narubongo na Daisy Llilies nisiwahangaishe nadhani ni hawa LonAgro-Official Dealer of John Deere,BELL,STIHL,Rovic Leers and Fieldking nitawatafuta wapo Dar
LonAgro Tanzania Ltd - Dar Es Salaam
Plot 48B, Ursino street,
Regent Estate,
Dar es Salaam,
Telephone: +255 656 227 522
Fax: +255 22 2772776
Email: info@lonagro.com
Mikoani
LonAgro Tanzania Ltd - Iringa
Kisolanza,
Ihemi village,
Iringa,
Telephone:+255 78 774 5881
Email: salema.kileo@lonagro.com
Google Map of Iringa, Tanzania
LonAgro Tanzania Ltd - Mwanza
Musoma Road,
Mwanza,
Telephone: +255 784246688
Email: ally.mgonde@lonagro.com
Google Map of Mwanza, Tanzania
LonAgro Tanzania Ltd - Arusha
Oljoro Plantations, Farm 2
Oljoro,
Arusha,
Telephone: +255 788 233 980
Email: ray.travas@lonagro.com
Google Map of Arusha, Tanzania
LonAgro Tanzania Ltd - Morogoro
Plot No.5 & 6
Mtawala Area,
Morogoro Municipality,
Morogoro
Telephone:+255 65 370 6663
Email: eva.linza@lonagro.com
Google Map of Morogoro, Tanzania
Kweli vibarua wanachukua hela yotContact zao zipoje hizi zitanifaa hasa mie Mkulima maana jamaa wa Kulima wananikamua hasa
Kumbe hata Autosokoni wanazo za kutoka China ni laki 4
Upo nyanda za juu?Contact zao zipoje hizi zitanifaa hasa mie Mkulima maana jamaa wa Kulima wananikamua hasa
Likoje?? LinauzwajeKuna jembe la mkono kwa kupalilia linatumia diesel. Kwa siku unapalilia hekta moja peke yako.
Mkuu inaweza kutifua hata Kama shamba halijawahi kulimwa na tractor??Ya kwanza ni kupalilia/kutifua, ya pili ni kubwa kufyeka na tatu ni ndogo kufyeka. Hapo inakuja na motor 2 za kufyekea Kama unavyoziona #1 inatumia kisu (Kama feni) #2 inatumia waya. Ikiharibika spare wanazo
Hizi pia zinatumika sana kukata mpunga, za kiChina zipo na bei ni sawa na hizi Germany lkn za China ni mayai mayai sanaView attachment 1338879
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ya kutifua sijawahi kuitumia Kama udongo mbichi si tatizoMkuu inaweza kutifua hata Kama shamba halijawahi kulimwa na tractor??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo Rukwa
Inasemekana haya madude ndo yameleta mnyauko(kansa ya migomba) kwa wilaya ya Ngara. Leo muhangaza anakosa ndizi ya kula analazimika kula ugali msosi ulioaminika kuwa chakula cha wenye maafa ya njaa na maskini
Niaje MkuuKumbe hata Autosokoni wanazo za kutoka China ni laki 4
Niwape mfano: utaona lazima udongo uwe tifu tifu. Ni ya kupalilia si ya kulima shamba mpya
Sikumbuki vizuri bei waliyoniambia lkn ni maeneo ya laki 4 kuelekea 5