donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,088
- 21,561
Wakuu,
Kuna gari Aina ya mitsubishi outlander PHEV, ni gari ambayo nimeipenda kwakua ni SUV yenye muonekano mzuri Ila kikubwa ilichonivutia ni kwamba hii gari ni Hybrid, kwamba unaweza ukatumia mafuta au umeme.
Sasa swali langu moja kwa moja ni kwamba je, kwa hapa Tanzania hii gari kwenye swala la kuchaji, unaweza ukatumia power outlets za nyumbani kulichaji?
Maana nimejaribu kuangalia kwenye nchi za wenzetu kuna special power docking station maalum kwaajili ya kuchajia haya magari. Nawasilisha!