Nahitaji Chuo kinachotoa Shahada ya Forensic Science kwa Tanzania

Very poor

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
347
509
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kazi iendelee. Polen na majukumu katika kuhakikisha familia na Taifa letu linaendea kusonga mbele.

Wataalam naomba ushauri, mdogo wangu amemaliza Diploma ya Information Technology, katika maongezi naye jana akaniambia anatamani sana kusoma degree ya Forensic Science.

Swali likaja kichwani mwangu je, kwa Tanzania kuna Chuo chochote kinachotoa Degree ya Forensic Science?
 
Forensic Pana hata huko kwenye makompyuta Inagusa.
Mwambie apekue nyanja zote inazogusa Ata jikuta anafikiwa akiwa huko huko kwenye makompyuta.
 
Kama uko serious njoo inbox ,Kuna full funded scholarship ya hio kozi nchini India ...masomo yataanza November . probability ya kupata hio kozi hio kwa mdgo wako ni kubwa...ASI talking now Kuna one of students nili wafanyia application the same course
 
Andikeni hapa hapa hayo mambo ya pm mnaleta udanganyifu tu. Bongo hayo mawala hata ukisoma hayana ushindani na ukisoma bongo jipange sana
 
Back
Top Bottom