Naomba kujuzwa condom imara

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
28,334
55,311
Rough rider ndo huwa natumia.
Kuna siku nilizikosa nikachukua Bull yani ni mwendo wa kuchanika tu.
Mzee hiyo bull ilikua imeexpire.

Kondomu shit nilizowahi kutumia ni Salama (kondomu shilingi 100) binti aliwashwa na zikachanika na nyingine ni Dume, Dume zinabana kiasi kwamba hata muda wa kumwaga unapatwa na maumivu kama vile umejifunga rubber band na nikavimba kwenye shina.

Ila pengine ulikua rough ndiyo maana unaprefer rough rider either that or am joking.
 

kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,672
5,184
Condom inapasukaje? Badili Condom pale unapoona bado wazungu hawaji, hii husaidia pia kurudisha utelezi.
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
6,977
19,422
Mzee hiyo bull ilikua imeexpire.

Kondomu shit nilizowahi kutumia ni Salama (kondomu shilingi 100) binti aliwashwa na zikachanika na nyingine ni Dume, Dume zinabana kiasi kwamba hata muda wa kumwaga unapatwa na maumivu kama vile umejifunga rubber band na nikavimba kwenye shina.

Ila pengine ulikua rough ndiyo maana unaprefer rough rider either that or am joking.
Rough rider inakupa uhuru wa kupiga style yoyote. Sasa kuna mengine unayatumia yanakulimit kwenye kifo cha mende tu. Hizi salama nilizitumia kitambo sana nikiwa shule, nilipoanza kutumia Fiesta nikaachana nazo. Kwanza zinaniumiza tumbo sijui nilikuwa na allergy nazo.

Rough rider hana upinzani. Hata uwe na style gani hazichaniki.
 

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
9,750
14,085
Rough rider ndo huwa natumia. Kuna siku nilizikosa nikachukua Bull yani ni mwendo wa kuchanika tu.
nakumbuka hizo bull zilichonifanyia sina ham nazo tena. Siku nipo na manzi nikawa napump stoke za fasta na nguvu, ile kuchomoa nibadili style nashangaa ndom siioni :rolleyes: :rolleyes: nikamuuliza yule demu 'OYA UMEMEZA CONDOM?' akabaki nae kushangaa.

Nikavaa nyingine nikamalizia game huku sina mood kabisa. Badae nakuta nimebaki na kiruberband kwenye mkuyenge na dem alivorudi kwao akakojoa kipande kilichobakia. Kuanzia siku hiyo NO CHEAP CONDOM, ya bei ndogo nitayotumia ni roughrider only.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom