Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Khaaa! Nadhani wengine ngono mshaifanya Kama chakula kabisaa 🤨 🤨.Naomba kusaidiwa kujua condom Bora na imara zitakazo kuwa na vigezo vya juu vya ubora na zenye kufanya ufurahie ngono
Khaaa! Nadhani wengine ngono mshaifanya Kama chakula kabisaa 🤨 🤨.Naomba kusaidiwa kujua condom Bora na imara zitakazo kuwa na vigezo vya juu vya ubora na zenye kufanya ufurahie ngono
Asante expert wa London😅😅Rough rider ndo huwa natumia. Kuna siku nilizikosa nikachukua Bull yani ni mwendo wa kuchanika tu.
Hiyo ni case ya mimba, magonjwa je?Huwa Nagogesha Besela (namwaga pembeni) Mbegu, japo huwa inataka Moyo kwani ule Utamu ambao huwa unakuja ukitaka Kupizi hauelezeki.
Hiyo ni case ya mimba, magonjwa je?
Rough rider inakupa uhuru wa kupiga style yoyote. Sasa kuna mengine unayatumia yanakulimit kwenye kifo cha mende tu. Hizi salama nilizitumia kitambo sana nikiwa shule, nilipoanza kutumia Fiesta nikaachana nazo. Kwanza zinaniumiza tumbo sijui nilikuwa na allergy nazo.
Rough rider hana upinzani. Hata uwe na style gani hazichaniki.
Masikini huamini sex ndo starehe pekee iliyopo duniani
Chai chai chai, kwahiyo mkuu unataka kusema kuwa sehemu ya kuchomeka ukuni ndio sehemu pa kukojolea.?nakumbuka hizo bull zilichonifanyia sina ham nazo tena. Siku nipo na manzi nikawa napump stoke za fasta na nguvu, ile kuchomoa nibadili style nashangaa ndom siioni 🙄 🙄 nikamuuliza yule demu 'OYA UMEMEZA CONDOM?' akabaki nae kushangaa. Nikavaa nyingine nikamalizia game huku sina mood kabisa. Badae nakuta nimebaki na kiruberband kwenye mkuyenge na dem alivorudi kwao akakojoa kipande kilichobakia. Kuanzia siku hiyo NO CHEAP CONDOM, ya bei ndogo nitayotumia ni roughrider only.
Njoo nimdhihirishe kwako ili uamini Kama ni Pepo wa ngono
bareback nzuri kwa wewe maana ni ultrathin nyembamba sna kwenye packet wameandika like you are wearing nothing,bareback nzuri sabab ya vipele vile japo nayo nzuri sna ila wadada ndo wanasemaga wanaviinjoybareback na rough rider ipi nzuri kwa uzoefu wako?
Ngoja nizitafuteNilinunua Durex pale MC
Demu akasema zina harufu ta chocolate.
Bei yake buku 4 tuuuuuu
Mkuu tupeane maarifaAiseeeee.....[emoji848][emoji848]
hapana mzee haya yote ni maishampaka mnawaza mambo ya kondomu hakika dunia tambara bovu