Naomba kujuzwa condom imara

Rough rider inakupa uhuru wa kupiga style yoyote. Sasa kuna mengine unayatumia yanakulimit kwenye kifo cha mende tu. Hizi salama nilizitumia kitambo sana nikiwa shule, nilipoanza kutumia Fiesta nikaachana nazo. Kwanza zinaniumiza tumbo sijui nilikuwa na allergy nazo.

Rough rider hana upinzani. Hata uwe na style gani hazichaniki.
Na vipi ukipiga game mda mrefu hzo rough rider hazikauki?? mana mm ndom huwa inakauka mpaka najikuta naivua
 
Mzee hiyo bull ilikua imeexpire.

Kondomu shit nilizowahi kutumia ni Salama (kondomu shilingi 100) binti aliwashwa na zikachanika na nyingine ni Dume, Dume zinabana kiasi kwamba hata muda wa kumwaga unapatwa na maumivu kama vile umejifunga rubber band na nikavimba kwenye shina.

Ila pengine ulikua rough ndiyo maana unaprefer rough rider either that or am joking.

na vp ukipiga game mda mrefu hzo rough rider hazikauki?? mana mm ndom huwa inakauka mpaka najikuta naivua
 
nakumbuka hizo bull zilichonifanyia sina ham nazo tena. Siku nipo na manzi nikawa napump stoke za fasta na nguvu, ile kuchomoa nibadili style nashangaa ndom siioni :rolleyes: :rolleyes: nikamuuliza yule demu 'OYA UMEMEZA CONDOM?' akabaki nae kushangaa.

Nikavaa nyingine nikamalizia game huku sina mood kabisa. Badae nakuta nimebaki na kiruberband kwenye mkuyenge na dem alivorudi kwao akakojoa kipande kilichobakia. Kuanzia siku hiyo NO CHEAP CONDOM, ya bei ndogo nitayotumia ni roughrider only.
Rough rider znauzwa bei gan na zpo ngapi kwny pakt
 
nakumbuka hizo bull zilichonifanyia sina ham nazo tena. Siku nipo na manzi nikawa napump stoke za fasta na nguvu, ile kuchomoa nibadili style nashangaa ndom siioni :rolleyes: :rolleyes: nikamuuliza yule demu 'OYA UMEMEZA CONDOM?' akabaki nae kushangaa. Nikavaa nyingine nikamalizia game huku sina mood kabisa. Badae nakuta nimebaki na kiruberband kwenye mkuyenge na dem alivorudi kwao akakojoa kipande kilichobakia. Kuanzia siku hiyo NO CHEAP CONDOM, ya bei ndogo nitayotumia ni roughrider only.
Condom ilipotelea ndani na bado mkaendelea kufanya yenu, akakojoa kipande?

Hii nayo kali.
 
Nilipata game ya fasta siku moja,ikabidi nitafute ndom,kwenda duka la dawa wana du.me condoms tu,nikanunua..kwenda kwenye game haikuchukua hata raundi imechanika na inabada ile mbaya

So far RR(Rough Rider) inafanya kazi yako poa tu..
 
na vp ukipiga game mda mrefu hzo rough rider hazikauki?? mana mm ndom huwa inakauka mpaka najikuta naivua
Hizi zina performance za hali ya juu kwa kila kigezo kuliko nyingine zote nilizowahi tumia. Kwenye masuala ya kukauka hilo huwa tatizo langu pia ingawa hutegemea na nani anahusika. Ikizidi sana matumizi ya vilainishi elekezi yanaweza kuhusika.
 
Hizi zina performance za hali ya juu kwa kila kigezo kuliko nyingine zote nilizowahi tumia. Kwenye masuala ya kukauka hilo huwa tatizo langu pia ingawa hutegemea na nani anahusika. Ikizidi sana matumizi ya vilainishi elekezi yanaweza kuhusika.
nadhani yafaa kutumia kondomu pamoja na durex/ky jelly kwa pamoja
 
Mkuu hii ni ultrathin utaumu unausikia kama hujavaa kitu na ukiivaa vizur sahau kupasuka,shida sio condom tu hata RAIA wengi hawajui jinsi ya kuzivaa vizur
bareback na rough rider ipi nzuri kwa uzoefu wako?
 
Condom ilipotelea ndani na bado mkaendelea kufanya yenu,
Akakojoa kipande???
Hii nayo kali.
mkuu unaweza dhani utani ila ndio ukweli, dem kaenda kwao badae ndio ananiambia ameenda kukojoa ikatoka condom tena nzima isipokua ile ruberband ndio ilibaki kwangu.
 
kusema ukweli sina desturi ya kutumia condom kwenye maisha yangu....ila hivi karibuni nimeona kwenye kichwa cha mkuyenge kuna kama mba...nina mashaka sana...maana huu mba wa ajabu leo unakuwepo kesho unatoweka hadi naanza kuogopa mkuyenge wangu...sijui itakuwa dalili ya nini hii hapo ndio naanza kujua umuhimu wa condom
 
Back
Top Bottom