Naomba kujuzwa condom imara

Rough Rider anthem
Nalikumbuka lile sauti la dmx halafu huku unakiwasha chini yaani unanata na mdundo kibabe unakandamiza kweli kweli bila wasi wasi

Ukitoka hapo unajiona bonge la mshindi

Unajikuta John Cena yaani
 
Ndugu wataalamu wiki iliyopita nimekutana na binti ambaye alikuwa ana uke mdogo sana na kupelekea Condom kupasuka mara mbili (Nilibadilisha).
Naombeni msaada wenu kama Mimi ndio natumia nguvu sana, nitumie mafuta, ama kuna Condom Kubwa zaidi, au kuna ushauri wowote
ukiona kondom inapasuka ujue hujui jinsi ya kuivaa,kondomu huchani tu kwenye packet na kutumbukiza kwenye uume kuna hatua zake za uvaaji fata maelezo kwenye kiboksi
 
Huwaga niki sex natumia condom ila juzi nime sex bila condom najuta sababu nimepata U.t.i konk nahc yule demu amenipa yy dah imenigarimu elfu 25 kuitibu ,
 
Hivi kincholeta STDs ni michubuko au nini.

Nyie watu kuna mademu wazuri hatari hasa wakiarabu na machotara, hadi unatamani usitumie Condom
 
Back
Top Bottom