Naomba kujuzwa bei za pete ya uchumba za madini mbalimbali

Haya mapete sometym yana mambo sana one day nipo chup nafua wkt nasuuza nguo nikaona pete mtu kaisahau nikaiokota nikasema ngoja nimtunzie nikimaloza kufua ntaitangaza ss namna ya kuitunza isipotee nikasema ngoja niiweke kwenye kidole maana mfukoni yaweza kunipotea basi nikaivaa ili isipotee.

Dah ile nimemaliza kufua nikaoge then nitafute mwenyewe naona pete imetight kidole kila nikivua haitaki kutoka na kidole kinazidi kuvimba nikasema Manina hili lipete losije kuwa la kichawi nikamstua mshkaji wangu akasema tuwahi kwa mafundi seremala basi kufika tukaanza kukata na msumeno ila kazi ikawa pevu maana nahisi ilikuwa sijui na,madudu gani basi tunakata kidogo inapata moto naungua inabidi tupumzike ila nashukuru mpaka mwisho tukafanikiwa ila nilikoma kwa kweli.
Duh,pole mkuu
 
Back
Top Bottom