Naomba kujuzwa bei ya Phantom X

mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,526
2,000
Njia rahisi mkuu ni kufuatilia habari za vitu vinapotokea.
Mfano.
1. Sony walitangaza sensor yao mpya ya 50MP ambayo itatumika kwenye flagship, hivyo unaanza kuona simu kibao zinatumia.

2. Samsung Wana display mpya za LTPO Amoled simu zote mpya za kisasa zinatumia,

3.umoja wa usb umetangaza usb type C itapitisha umeme hadi watts 240

4. Samsung katangaza ram za lpddr5

5. Storage Mpya za ufs 3.1 etc.

Hivyo unapo kuwa na habari za vitu vinapotokea wewe Uta judge sasa kama hii simu imepack feature zote za kisasa?

Mfano hii phantom X, ina flagship camera 50mp, ina maana imetick kwenye camera lakini soc sio flagship material, haina ddr5, fast charging ya kawaida, haina ltpo display etc.

Na njia nyengine ni kuangalia reviews online, toka website maarufu.
Ndio mkuu.

Tunajua hata samsung hawawezi kutupa kila kitu halafu wakatuuzia 1.1ml simu yao,hii haipo.

Swali langu ni moja tu,naona kama jamaa kweli wametunisha misuli,kitendo cha kuchukua processor hiyo ya kisanii,ni dalili ya wizi au ni ushamba??
Maana kwa mujibu wa maelezo yako kwingine ni kwamba kuna MTK ni poa tu,
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,218

Wanajua watu gani wanawatarget, there is a reason kwanini wanauza Africa na Sio USA ama Japan ama ulaya etc.

Hapo mtu aki Angalia ram na storage kama Liza.
 
Vamosdm05

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
347
500
Camera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.

Tatizo la Tecno wanalipua, huwezi ukaweka flagship camera na soc ya kijinga kama Helio G95, hii soc ni midrange haina akili (isp) ya kurun hio camera.

Pia camera haina vikorombwezo vingine vya kuifanya iwe nzuri zaidi kama flagship nyengine. Mfano haina OIS, haina slow MO, optical zoom na tech zifananiazo etc. Hivyo wametumia tu sensor nzuri ila result za kawaida.

Review yake ipo gsmarena unaweza kuisoma

Page ya review ya camera
Kumbe hadi slow mo haina...price 1.1M...what a pathetic move!
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,218
2,000
Chief simu zuri kati poco x3 pro vs redmin note 10 pro kwa budget ya 500k ni ip?
Naona kenya hazipishani bei.

Sent from my M2010J19SG using JamiiForums mobile app
X3 pro Ina perfomance kubwa kushinda simu yoyote kwa price point hii, kama wewe ni gamer ama unatumia apps nzito ni simu nzuri sana.

Weakness ya x3 pro sio all a rounder, camera ya kawaida sana, haina Amoled display, etc, hapa ndio inakuja Redmi note 10 pro, hii ni all a rounder hupati perfomance kama x3 pro ila utapata display kali, camera nzuri, etc.

Hivyo Matumizi ya kawaida chukua Note 10 pro, matumizi makubwa x3 pro.
 
ntagira

Member
Aug 18, 2013
8
45

Hivyo Matumizi ya kawaida chukua Note 10 pro, matumizi makubwam,

X3 pro Ina perfomance kubwa kushinda simu yoyote kwa price point hii, kama wewe ni gamer ama unatumia apps nzito ni simu nzuri sana.

Weakness ya x3 pro sio all a rounder, camera ya kawaida sana, haina Amoled display, etc, hapa ndio inakuja Redmi note 10 pro, hii ni all a rounder hupati perfomance kama x3 pro ila utapata display kali, camera nzuri, etc.

Hivyo Matumizi ya kawaida chukua Note 10 pro, matumizi makubwa x3 pro.
Nimekuelewa chief kama kuchukua note 10 pro pale kenya wanauza laki 570000 hela ya kitanzania je inareason kwa hela hiyo?
 
korokwincho

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
471
500
X3 pro Ina perfomance kubwa kushinda simu yoyote kwa price point hii, kama wewe ni gamer ama unatumia apps nzito ni simu nzuri sana.

Weakness ya x3 pro sio all a rounder, camera ya kawaida sana, haina Amoled display, etc, hapa ndio inakuja Redmi note 10 pro, hii ni all a rounder hupati perfomance kama x3 pro ila utapata display kali, camera nzuri, etc.

Hivyo Matumizi ya kawaida chukua Note 10 pro, matumizi makubwa x3 pro.
Na ukaaji wa charge ikiwa inatumika zaidi ya masaa 6 on browsing wakati wte huo itamaliza siku na charge??

Kwa zote 2
 
Bingwa Mara 4

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,355
2,000
Camera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.

Tatizo la Tecno wanalipua, huwezi ukaweka flagship camera na soc ya kijinga kama Helio G95, hii soc ni midrange haina akili (isp) ya kurun hio camera.

Pia camera haina vikorombwezo vingine vya kuifanya iwe nzuri zaidi kama flagship nyengine. Mfano haina OIS, haina slow MO, optical zoom na tech zifananiazo etc. Hivyo wametumia tu sensor nzuri ila result za kawaida.

Review yake ipo gsmarena unaweza kuisoma

Page ya review ya camera
Vipi na hapa walilipua mkuu?

hii ni camon 16. kuna wakati huwa ina stuck😁😁
Screenshot_20210813-114130.png
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
26,218
2,000
Vipi na hapa walilipua mkuu?

hii ni camon 16. kuna wakati huwa ina stuck😁😁 View attachment 1890480
Hapo kinachokurudisha nyuma ni soc, Helio P22.

Hio soc ni ya zamani toka 2018, iliotumika 2019 simu kibao ikiwemo A10s na simu zake nyingi ni around laki 2.

Wanachofanya Tecno wanajaza ram na storage (emmc storage za bei rahisi) kisha unakuja kuuziwa kwa bei ghali.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom