Naomba kujuzwa bei ya Phantom X

Naomba kujuzwa bei ya Phantom X

Seriously Tecno make bei 1.3M, bora ununue Samsung au Xiaomi ya 500k inayobaki peleka charity
Camera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.

Tatizo la Tecno wanalipua, huwezi ukaweka flagship camera na soc ya kijinga kama Helio G95, hii soc ni midrange haina akili (isp) ya kurun hio camera.

Pia camera haina vikorombwezo vingine vya kuifanya iwe nzuri zaidi kama flagship nyengine. Mfano haina OIS, haina slow MO, optical zoom na tech zifananiazo etc. Hivyo wametumia tu sensor nzuri ila result za kawaida.

Review yake ipo gsmarena unaweza kuisoma

Page ya review ya camera
 
Halafu ina Helio G95, soc ambayo haitofautiani sana na redmi note 8 pro simu ya mwaka juzi.

Wajinga waliwao.

Wabongo ukiwaambia tecno na infinix kwa material na specifications wanazotumia na kwa bei wanazouza ni Ghali mno hawakuelewi wao wanakwambia kulinganisha na Samsung au iPhone ni cheap bila kujua kuwa hizo simu ni value for money ukilinganisha na hizo famba

Kweli wajinga ndio waliwao
 
Camera yake ni flagship level nafkiri pixel 6 pia itakuwa na same camera pia ina display kali ya super Amoled naona wamejitutumua Waka chukua Display kwa Samsung.

Tatizo la Tecno wanalipua, huwezi ukaweka flagship camera na soc ya kijinga kama Helio G95, hii soc ni midrange haina akili (isp) ya kurun hio camera.

Pia camera haina vikorombwezo vingine vya kuifanya iwe nzuri zaidi kama flagship nyengine. Mfano haina OIS, haina slow MO, optical zoom na tech zifananiazo etc. Hivyo wametumia tu sensor nzuri ila result za kawaida.

Review yake ipo gsmarena unaweza kuisoma

Page ya review ya camera
Sorry kwa kutoka nje ya mada ndugu, ivi hizi Samsung series kati ya
A
J
M
S
Note
Ipi ni bora zaidi na yenye betri inayofaa kwa sisi masikini?
 
Kitu kinaweza kuwa bora zaidi lakini kisiwe bora kwenye battery. Kwenye mambo ya tech huwa Kuna fomula moja
-compact
-good battery life
-perfomance

Chagua viwili kati ya hivyo, huwezi kamwe kupata vyote vitatu.

S na note ndio best kwenye samsung hizi zina kila kitu kuanzia processor zenye nguvu, vioo vizuri, na zipo pia zinazokaa na chaji kiasi ila si sana kama A Na M. Bei zake ni ghali.

J series hizi ni zilipendwa siku nyingi wameacha kuzitoa.

A series zenyewe hazina display na processor kali Kama S na note ila zina mabattery makubwa kushinda S, bei zake ni za kati na ndogo. Na mara nyingi hupatikana Dunia nzima.

M ni kama A Sema zipatikana masoko maalum kama India na baadhi ya Nchi zenye wateja wengi.

Kuhusu suala Zima la ubora ni note na S series.

Kuhusu ukaaji chaji ni M series zinakaa na Chaji sana, Sema ni mpaka uagizishie nje kwa hapa Tz.

Kama hutaki kuagizishia nje hata A zinakaa na Chaji kiasi chake.

Mwisho wa siku ni wewe na Budget yako, zipo A, M, s Na note za bei mbalimbali.
 
M series zipo Tz hii ninayotumia ni M11 ya mwishoni mwa 2020 nilinunua Arusha
 
Asante ndugu. Kwa budget ya around 800k ipi inanifaa?
 
Natafuta kioo cha Samsung note 8 duos
Alienacho aniuzie
Cha simu yangu kimegoma
 
Bei za Phamtom X
Screenshot_20210711-004907.jpg
Screenshot_20210711-004847.jpg
 
Back
Top Bottom