Alvin cloud
Member
- Oct 16, 2016
- 25
- 21
Mwaka huu naona kam utaratibu ume badilishwa kwa sababu kwa miaka mingine flat C kwa masomo ya science en D ya math ilikuwa ni kawaida bt mwaka huu kuna watu wamekosa nafasi za kuchahuliwa kusoma science kwa point hizo mwenye detailed info anijulishe.