OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Ni mfugaji
Ndio, kama anafanya biashara, je mtaji alipata wapi? ???? Tafakari. ..
Tunasubiri Mkuu.Chanzo cha Kipato cha Lowassa; 1. Kodi ya jengo/kumbi iliyotokana na East Africa Community Arusha 2. Uuzaji wa viwanja vya wazi kipindi cha Mwinyi 3. Richmond 4. Biashara haramu na wahindi 5. Mikataba yenye utata kwenye baadhi ya majengo, mfano jengo la masaki liliporomoshwa kisa alitaka floor zote kwenye wing moja badala ya floor moja kwenye wing moja (jengo lina 2 wings), pia jengo la UVccm na mengineyo. 6. Kila deal lilipitia kwake na mengine mengi. Tutayaweka wazi akichaguliwa na chama chake kugombea urais, kwani tunajua siri zake za kifisadi nyingi sana
Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...
Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA
Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi
Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW
Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI
MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW
Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM
SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch
Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini
MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko
MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW
Kuna dili ya kaagiza magari ya kijapani enzi za mwalimu,Samuel Malecela akiwa PM. PM alikula dili na wajapani kupiga cha juu. Baada ya muda wale wazungu wakaleta commission ya PM kisiri,wakamkuta EL,akawaambia PM kanambia mnikabidhi mie huo mzigo. Jamaa wakamkabidhi EL mzigo,EL akapiga kimya. Zikapita siku PM akawauliza wale watasha ule mzigo. Wakamwambia tulimpa EL,,dah mtu mzima PM akamaindi kichizi,akamuuliza EL,EL akamwambia ndio walileta nilipokea ninao. PM akaamua kuuchuna maana yangefika kwa Mwalimu. Basi ndio ikawa mwanzo wa bifu la PM (Kalandinga) na EL mpaka kesho.
Yeye ndiye aliyeanzisha PCCB at least alimuweka hapo Hosea
Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...
Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA
Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi
Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW
Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI
MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW
Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM
SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch
Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini
MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko
MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW
SoftNet ni wadogo zake na mkuu wa TISS othman ,na pia yule kijana msemaji wa Bungeni Othman akiwa ni mmojawapo ndiyo maana unaona tenda zinatiririka tuu paleAna kampuni moja ya mchongo kabambe ya kusupply mashine za EFD iitwayo Softnet makao yake karibu na Sido, Upanga.l
Acha kumpigia lowasa kampeni za kijanja!Wadau naombeni kujua vyanzo vya mapato vya huyu brother, Me nilisikia ni mfugaji mzuri tu.Ya Richmond tatizo lilikua ni uwaziri mkuu.Tusimshutumu tuu kua anagawa rushwa wakati pengine tunajua biashara zake na hua anasaidia wenye shida na si kugawa rushwa. Tatizo lake nini? kaiba wapi? lini alitangaza kugombea uraisi?Alisema aliyepata kapata jamani.
Ndio Maana Nyerere hakujua ukwasi wake ulipopatikana hadi akahoji? Acheni mbwembwe,lowasa ni mwizi tu kama alivyo chenge na ndio maana hajawahi kuongelea ufisadi wala wizi wa raslimali za umma kwani ni sawa na kujiumbua mwenyewe.HIVI KWA MAZINGIRA YA SASA YA TZ UNAONA NA SAWA KUWA NA RAIS ASIYEKEMEA UFISADI NA RUSHWA? RAIS ASIYE TAYARI KUPAMBANA NA RUSHWA NA UFISADI UNAOANGAMIZA TAIFA? JIULIZE KWA NINI LOWASA HAYASEMEI HAYO? INA MAANA HAONI KAMA NI MATATIZO KTK TAIFA HILI? TAFAKARI!
Chanzo chake kikuu ni CAPACITY CHARGE
rockspider