Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

Wewe una uhakika gani kua lowasa ni tajiri, au unasikia sikia, ukiambiwa onyesha kitu kimoja kinachokufanya useme ni tajiri utaonyesha? Hangaikia maisha yako
 
Unataka tu kujua af basiiiii.... au unataka kujua ili ujifunze kitu af utafute zako...!?
 
Mbona hauulizi utajiri wa Ndesamburo? Au utajiri wa Edwin Mtei nae aliiba akiwa gavana wa Benki Kuu?Watanzania tuache majungu na uzushi bali tuchape kazi ili kuboresha maisha yetu.
 
Mbona hauulizi utajiri wa Ndesamburo? Au utajiri wa Edwin Mtei nae aliiba akiwa gavana wa Benki Kuu?Watanzania tuache majungu na uzushi bali tuchape kazi ili kuboresha maisha yetu.

Wanataka wajue mtu anayetaka kwenda ikulu kama ni mwizi au sio mwizi. Hao wengine pia wakitaka kwenda ikulu nao watajadiliwa. Wewe kama ni team EL anza kumtetea na kumbuka wagombea wote watashiriki mdahalo na maswali ndio kama haya. Karibu umtetee
 
Itakua vuzuri na wengine tufahamu,maana tunasikia anagawa rushwa tu na wakati kwenye list ya wenye ukwasi bongo hayupo.

Hela kapewa na waarabu, zaidi ya dola milioni 40. sasa haijulikani kauza nini, na akishindwa sijui waarabu watalipwa nini.
Kama ni biashara zingeonekana lakini pia labda ni pesa za majini kwani anavyogawa zinazidi kuongezeka
 
Back
Top Bottom