Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...

Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA

Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi

Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW

Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI

MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW

Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM

SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch

Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini

MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko

MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW

Lakini Mbona Wengine Hawagawi Misaada? Kama Ni Mwenzao Mbona Wao Wanamshutum Sana EL? Kumbe Wapo Wengine Nao Wana Ukwasi Kama Yy?
 
Ndio, kama anafanya biashara, je mtaji alipata wapi? ???? Tafakari. ..

lowassa ni mtoto wa mfugaji wa toka zamani hizo,alimpa ng'ombe wengi sana na yeye akajiendeleza kwa kuwekeza ktk biashara nyingine mf.mahoteli,madini,ardhi nk. richmond ni zengwe lililoundwa kumchafua tu kisa ni mwajibikaji,mpenda haki,maendeleo nk
 
Kuna dili ya kaagiza magari ya kijapani enzi za mwalimu,Samuel Malecela akiwa PM. PM alikula dili na wajapani kupiga cha juu. Baada ya muda wale wazungu wakaleta commission ya PM kisiri,wakamkuta EL,akawaambia PM kanambia mnikabidhi mie huo mzigo. Jamaa wakamkabidhi EL mzigo,EL akapiga kimya. Zikapita siku PM akawauliza wale watasha ule mzigo. Wakamwambia tulimpa EL,,dah mtu mzima PM akamaindi kichizi,akamuuliza EL,EL akamwambia ndio walileta nilipokea ninao. PM akaamua kuuchuna maana yangefika kwa Mwalimu. Basi ndio ikawa mwanzo wa bifu la PM (Kalandinga) na EL mpaka kesho.
 
Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...

Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA

Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi

Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW

Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI

MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW

Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM

SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch

Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini

MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko

MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW

mkuu wewe ni noma,nimecheka sana.yani hapo wanazidiana wizi tu.mimi naamini hii habari ina ukweli.subiri mwaka huu watakavyochafuana,hapo ndo napowapendea tu.
 
Chanzo kikuu cha mapato ya Edo ni Mzigo uliotoka Japan uliokuwa unaelekea kwa Samwel Malecela, kwa bahati ikaingia ofisini kwa Lowassa ambaye alizitumia kwa kuwekeza! Chanzo kingine ni Jengo la Ubalozi wa South Africa alizowapangisha kwa Rates za Ulaya, Shivacom, NASHERA Hotel nk...

Chanzo chaMapato c Samwel Sitta ni Ujenzi wa DIA/JIA na CDA

Chanzo cha mapato cha Membe ni Change ya Rader na Fedha za Ghadaffi

Chanzo cha Mapato cha Pinda ni Deals za Sukari na ESCROW

Wassira : ESCROW, UJANGILI , MIKATABA YA MADINI

MAkamba Jr: Kodi ya Simu, MIkataba ya Madini, ESCROW

Nchemba: ESCROW, Viwanja na majengo ya CCM

SUMAYE : Mikataba ya Madini, Ranch

Muhogo: ESCROW, Mikataba ya Madini

MAGUFULI: Mikopo ya WB, 50% Kwenye mikataba ya ujenzi, mapato ya vivuko

MWAKYEMBE: Mikataba bandarini, Deal la Nishati, Vivuko, ESCROW
Haha ha ha naomba hii thread ifungwe. Jibu lishapatikana tena na nyongeza
 
Chanzo cha Kipato cha Lowassa;
1. Kodi ya jengo/kumbi iliyotokana na East Africa Community Arusha
2. Uuzaji wa viwanja vya wazi kipindi cha Mwinyi
3. Richmond
4. Biashara haramu na wahindi
5. Mikataba yenye utata kwenye baadhi ya majengo, mfano jengo la masaki liliporomoshwa kisa alitaka floor zote kwenye wing moja badala ya floor moja kwenye wing moja (jengo lina 2 wings), pia jengo la UVccm na mengineyo.
6. Kila deal lilipitia kwake na mengine mengi.
Tutayaweka wazi akichaguliwa na chama chake kugombea urais, kwani tunajua siri zake za kifisadi nyingi sana
 
Wadau naombeni kujua vyanzo vya mapato vya huyu brother, Me nilisikia ni mfugaji mzuri tu.Ya Richmond tatizo lilikua ni uwaziri mkuu.Tusimshutumu tuu kua anagawa rushwa wakati pengine tunajua biashara zake na hua anasaidia wenye shida na si kugawa rushwa. Tatizo lake nini? kaiba wapi? lini alitangaza kugombea uraisi?Alisema aliyepata kapata jamani.

Kati ya vingi hivi karibuni ameongezea chanzo kinachoitwa ESCROW
 
kwa msaada wa majibu sahihi ya swali na haja yako ni vizuri ukaonana na msemaji wa familia yake au yeye mwenyewe ili kukidhi haja na matamanio au shauku ya kutaka kujua.
 
Chanzo chake ni kampuni hewa ya richmond na dili nyingine za kifisadi hasa mikataba ya kimangungo
 
lowassa ni mtoto wa mfugaji wa toka zamani hizo,alimpa ng'ombe wengi sana na yeye akajiendeleza kwa kuwekeza ktk biashara nyingine mf.mahoteli,madini,ardhi nk. richmond ni zengwe lililoundwa kumchafua tu kisa ni mwajibikaji,mpenda haki,maendeleo nk

Ndio Maana Nyerere hakujua ukwasi wake ulipopatikana hadi akahoji? Acheni mbwembwe,lowasa ni mwizi tu kama alivyo chenge na ndio maana hajawahi kuongelea ufisadi wala wizi wa raslimali za umma kwani ni sawa na kujiumbua mwenyewe.HIVI KWA MAZINGIRA YA SASA YA TZ UNAONA NA SAWA KUWA NA RAIS ASIYEKEMEA UFISADI NA RUSHWA? RAIS ASIYE TAYARI KUPAMBANA NA RUSHWA NA UFISADI UNAOANGAMIZA TAIFA? JIULIZE KWA NINI LOWASA HAYASEMEI HAYO? INA MAANA HAONI KAMA NI MATATIZO KTK TAIFA HILI? TAFAKARI!
 
Chanzo cha Kipato cha Lowassa;
1. Kodi ya jengo/kumbi iliyotokana na East Africa Community Arusha
2. Uuzaji wa viwanja vya wazi kipindi cha Mwinyi
3. Richmond
4. Biashara haramu na wahindi
5. Mikataba yenye utata kwenye baadhi ya majengo, mfano jengo la masaki liliporomoshwa kisa alitaka floor zote kwenye wing moja badala ya floor moja kwenye wing moja (jengo lina 2 wings), pia jengo la UVccm na mengineyo.
6. Kila deal lilipitia kwake na mengine mengi.
Tutayaweka wazi akichaguliwa na chama chake kugombea urais, kwani tunajua siri zake za kifisadi nyingi sana

useme usemavyo ata uvue nguo is our nxt presida
 
Allah kumbe!Basi tusimluam kua ni fisadi,wala mgawa rushwa maana sijawahi kusikia mahali PCCB wamemkamata.Rai yangu ni kwamba asaidie na wale wenye matatizo wanaotaka kwenda kutibiwa India na sio kusaidia wanasiasa tu na makanisani.

Mkuu watanzania wanasaidia mtu ambaye na yeye atakusaidia kwa hiyo el kundi analoona litamsaidia ndo hilo
 
Back
Top Bottom