Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

Naomba kujua tiba mbadala ya mgongo

Habarini za majukumu ndugu zangu.

Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda kwajili ya kunyoosha pingili lakini naona hali bado sio shwari.

Nilijaribu kwenda kwa wale madokta wanaounga mifupa kwa vijiti, wakanambia wananyoosha pingili kwa gharama ya laki 5 (500,000) naomba msada wenu kwa yeyote anayefahamu tiba mbadala ya hiyo anifahamishe kwakuwa sina pesa hiyo ya kwenda kunyooshwa.
Asanteni [emoji1317]
Dawa ya maumivu wa mgongo inaweza patikana ila ni vyema ukinipa maelezo zaidi. - Je umesha wahi kujifungua kwa Upasuaji? - Na je makali ya maumivu unaoyapata Unayahisi ya aina vipi? (Kama unachomwa sindanu? Au kama unawashwa moto nyuma ya mfongo?) Tuma maelezo yako kwa pm
 
Una uhakika unacho kisema dada? unajuwa Wachina wanazo dawa za artificial herbs? Sio dawa organic Herbs. Dawa zao hazitibu maradhi yoyote yale ni dawa za biashara tu.Hay maneno aliwahi kusema Mwalimu wangu waTiba Marehemöu doctor Sebi kuwa wachina dawa zao ni nyingi dawa feki .
sasa bwana wewe NziziNkavu tupe basi tiba ya hili tatizo,
 
Una uhakika unacho kisema dada? unajuwa Wachina wanazo dawa za artificial herbs? Sio dawa organic Herbs. Dawa zao hazitibu maradhi yoyote yale ni dawa za biashara tu.Hay maneno aliwahi kusema Mwalimu wangu waTiba Marehemöu doctor Sebi kuwa wachina dawa zao ni nyingi dawa feki .
Lakini tiba ya Wachina ya acupuncture kwa kuondoa maumivu hata wazungu wameifuata.
 
Lakini tiba ya Wachina ya acupuncture kwa kuondoa maumivu hata wazungu wameifuata.
Labda hiyo lakini kuhusu Herbs zao nyingi ni za kutengeneza Viwandani Hybrid Herbs hazifai kuliwa ni madawa waliyo changanya kugeuza kuwa ni mimea lakini ni mimea feki .
 
Una uhakika unacho kisema dada? unajuwa Wachina wanazo dawa za artificial herbs? Sio dawa organic Herbs. Dawa zao hazitibu maradhi yoyote yale ni dawa za biashara tu.Haya maneno aliwahi kusema Mwalimu wangu wa Tiba Marehemu Doctor Sebi kuwa wachina dawa zao ni nyingi dawa feki .
hongera mkuu..umesoma kwa marehemu dokta sebi?
 
kama ungekuwa dar ningekuconnect na mzee wangu wa kigoma alishasaidia wengi sana wenye shda hyo na siyo wa tamaa kabisa
 
Jaribu pia mazoezi mbali mbali ya mgongo na ukikaa kwenye kiti kazini hakikisha hujipindi ila kuuweka mgongo kwenye majaribu zaidi.
Habarini za majukumu ndugu zangu.

Nasumbuliwa sana na mgongo, niliwahi piga X-ray na imeonyesha pingili hazina mpishano mzuri kutokana na ukaaji chini muda mrefu. Dr alinishauri niwe navaa mkanda kwajili ya kunyoosha pingili lakini naona hali bado sio shwari.

Nilijaribu kwenda kwa wale madokta wanaounga mifupa kwa vijiti, wakanambia wananyoosha pingili kwa gharama ya laki 5 (500,000) naomba msada wenu kwa yeyote anayefahamu tiba mbadala ya hiyo anifahamishe kwakuwa sina pesa hiyo ya kwenda kunyooshwa.
Asanteni [emoji1317]
 
61ifGtzccWL._SY450_.jpg
Jaribu hii dawa utakuja nishukuru.
 
Naipata wapi hii dawa mpendwa? Sorry sikuwa hewan muda mrefu
Nahisi kwenye pharmacy zipo, au unaweza kuweka order mtandaoni. Me nimetumia kipindi nasoma Russia, na Bila shaka nahisi origin yake ni huko.
 
Back
Top Bottom