Naomba kujua ni tiba gani nzuri ya kuzuia hedhi ya muda mrefu

Nyankuru Wankuru

JF-Expert Member
Apr 22, 2018
1,201
2,000
Ndugu zangu nasumbuliwa na hedhi ya muda murefu, nimejifungua miezi 6 iliyopita. Sasa hedhi ilianza kutoka takribani wiki 2 zilizopita na hadi sasa inaendelea.

Nimeenda hospital nikapewa vidonge vya kumeza na nimevitumia vidonge hivyo lakini sijaona mafanikio yeyote yale.

Tabia hii ya hedhi kutoka kwa muda mrefu imekuwa kama tabia Mara baada ya kujifungua.

Mara ya kwanza ilitoka ndani ya mwezi mzima hivi ikakata yenyewe. Nilienda kupiga ultra sound hakuna tatizo lililoonekana.

Ndugu zangu naomba msaada wenu wa kitalaam na hata tiba ili hili tatizo liniepuke.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom