Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa.
Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu.
Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo.
Naomba msaada kujua sehemu gani ndan ya wilaya ya ngara naweza kuwekeza kilimo.
Kwa kunitajia kata au hata Kijiji ilinikapate shamban kwa ajili ya kilimo.
Eid Mubarak!