Naomba kujua namna ya kutuma pesa China

Mavindozii

JF-Expert Member
Oct 20, 2012
2,111
2,759
Hello Team, naombeni msaada wenu, kuna machine nataka kununua China na wamenitumia details za Bank zote.

Kabla sijatuma kama kuna mtu mwenye experience na mambo ya Money Transfer anisaidie ile pesa yangu isidondokee kwa matapeli.

Wamenitumia hizi details za bank.

PLS ARRANGE FOR THE PAYMENT TO US AS THE FOLLOWINGS:

BENEFICIARY: HENAN DOUBLE ELEPHANTS MACHINERY I/E CO., LTD

(Room 616 Xindi Commerce Bld, No 131 Huanghe Road, Jinshui Area, Zhengzhou City, Henan, China)

BENEFICIARY'BANK: BANK OF CHINA HENAN BRANCH

(NO.3-1, SHANGWU WAIHUAN ROAD, ZHENGDONG NEW DISTRICT, ZHENGZHOU, HENAN-CHINA)

3. ACCOUNT NO: 2598 0070 5596

4. SWIFT NO.: BKCHCNBJ530
 
Una nunua kutoka kwenye site gani alibaba au ni direct kutoka kwa seller mwnyewe?
 
cheki reputation ya uyo muuzaji ( kwa kuangalia previous feedback reviews kutoka kwa customers waliopitia hapo )
 
Back
Top Bottom