Naomba kujua NACTE lini inachagua fourth round

Samhoodsam

Member
Sep 24, 2015
33
6
Nasema hili kwa uchungu kwani mpaka leo sijachaguliwa kila nikiingia kwenye profile yangu neno hili nalikuta kila siku "system is closed for selection".

Mbona hawatuweki wazi kama wamemaliza kama TCU?
 
Back
Top Bottom