Naomba kujua kutoka kwa mtu anayejua usafiri wa Dodoma to Bagamoyo

Asante sn.
 
Daradara ndio kitu gani mkuu?
Public transport,, nenda rudi,,,kwa kenya ,,wanauita ,matatu,,,,,aina ya gari zinazofanya route hizi Mara nyingi ,, ni coaster,hiace .nk,,na nauri zake huwa ni ndogo,,b/ cause they just work within the same area of town..
 
Basi linalotoka Dodoma to Bagamoyo lipo
 
Basi linalotoka Dodoma to Bagamoyo lipo
Na ofisi zao kwa Dodoma zipo Wajenzi pale zilipo ofisi za FIRST CHOICE
 
Basi la dodoma- bagamoyo lipo Ila kama Una haraka zako usipande chukua bus from dodoma shuka chalinze au mlandiz!.. Utafika kwa wakat.

Faida za gar la kutoka bagamoy mpka dodoma ni moja tu naul ndogo utatoa elfu 17 Tu.. Na hakuna kushuka shuka.. Ila hasara zake kwenye muda!..
utakaa sana njian.. Ni zile EICHER so sometimes inakua kama daladala!.. Hapa na hapa wamesimama!.. Bado trafic hawajawasimamisha..

Utapanda na kuku umo ndani na vikolokolo kibao binafs nishawai!. Kuutumia uo Usafil from Dom- bagamoy ila sitakuja kupnda tena bora nipande nusu nusu.. Nichukue bus from Dom mpk chalinze nafika on time.. Chalinze nachkua!.. Coaster mpka bagamoy
 
 
Kwa kutokea Dodoma ,,ipi? Inaanza chalinze au mlandizi,,na ni wapi? Patakuwa na unafuu wa nauli ,,means , fr chalinze to Bagamoyo, au mlandizi?to Bagamoyo,,,,,kwa vyovyote vile nadhani anayetoka Dodoma to chalinze/mlandizi ,,nauli yake inalingana ,,na wa Dom to Dar,,,nikimanisha ,,,popote ambapo nitashukia ,,,nitakuwa ndani ya nauli yangu niliyolipa ,,pindi natokea Dom.. Asante.
 
πŸ™πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…