Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mazda Atenza 2015

Kapepo

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
1,063
1,188
Wakuu wazima humu, naomba ushauri wa kitaalam kwenye gari hii diesel model. Kuhusu ubora na changamoto zake

IMG_8542.jpeg
 
Wakuu wazima humu, naomba ushauri wa kitaalam kwenye gari hii diesel model. Kuhusu ubora na changamoto zake

View attachment 2946392

Gari nzuri, design na technology. Kuna engine za petrol na diesel kama zilizoko kwenye CX-5. Za petrol ni reliable ma durable zaidi ila ni ngumu kuzipata. Ya diesel 2.2 ni nyingi zaidi na ni best kama unataka the best combo ya power na fuel consumption (efficiency) inataka service kwa wakati, tumoa recommended oil, kwa huku bongo nashauri utoe DPF, badili na coolant bypass pipe weka ya metal, enjoy maisha
 
Hivi wapi kuna huduma ya kudelete DPF kwa gereji za bongo?
 
Assanteni sana wadau, naona nichukue hii sasa na je vipi iyo dpf kama sijaiondoa changamoto zake nini haswa

Kazi yake ni kuchuja moshi unaopita kwenye exhausoili usiharibu mazingira (kwa ulaya hii ni lazima) na gari ikitolewa hiyo unapigwa hata faini.

Changamoto sasa:
Huku kwetu mafuta yanayokuja yanakuwa na sulfur nyingi so zile taka zinajaza DPF kwa haraka hasa kama gari haisafiri umbali mrefu unaoruhusu gari kurev sana kwa muda mrefu na kuchoma hizo taka.
Shida ni kwamba mpaka wakati DPF inaziba inawezekana ishaleta madhara kadhaa kwa sababu huwa joto linarudi kwenye engine, inaweza kuua turbo na hata kuharibu head.

Suluhisho:
Safisha DPF, either kwa kuendesha gari angalau mara 1 kwa mwezi umbali amabao unaweza kurev gari kwenye RPM kubwa kwa 30 au more mins. Au kwa kuna watu wanazisafisha na dawa . Hii si ya kudumu

DPD delete. Hii ni solution ya kudumu kama wakitoboa ile chujio (DPF) ili gesi zipite bila kuchujwa. Then wanaprogram DPF ili kuidanganya kama DPF haijatolewa.
 
Assante sana mkuu kwa ufafanuzi je mimi natembea umbali wa km 30 kwenda na kurudi kilasiku napaswa kudelete iyo dpf?
 
Njia hii unayoitaja si dpf delete, hii ni regeneration.
Kama ni humu humu mjini most likely hutaweza kuwa unapata nafasi barabarani ya kukuwezesha kufika speeds na revs za kuchoma kiwango cha kutosha, hasa kwa kiwa mafuta yetu quality ni ndogo. Watu wanaosafiri sana labda.
 
Assante mkuu je kati ya petrol na diesel unaweza kunipa utofauti wake kwa liter 1 ya mafuta inaenda km ngapi?
 
Nimekaa nalo miezi 10 hadi sasa. Sijakutana na shida yoyote.

1. Ulaji wa mafuta ni subjective. Ila kwa mimi nilietoka BMW 323i cc 2500 Petrol ambapo mjini napiga 6km/L sahivi napiga 13km/L kwenye heavy traffic. Pia iStop inasaidia sana kupunguza ulaji wa mafuta. Highway napiga hadi 25km/L nikiwa natumia Adaptive Cruise Control.

2. Spare hadi sasa sio issue ila nishajua machaka yote ya spare. Oil natumia ya Castrol C3 5W30 kitu lainiii. Oil lita 5.1 ukibadirisha na filter haifiki 200K.

3. Speed imebaniwa ni 180km/L ila inatosha kabisa. Kwasababu natumia sana mjini highway ni weekend na road trips.

4. Last year niliupdate kwenye uzi wa road trip nilitoka Dar to Lushoto kisha Moshi Then Arusha then Manyara kisha Dom kisha Moro then Dar. Kwa wese la roughly Tsh 250k pamoja na misele ya mjini. Usieamini jiue.

5. Kabla hujanunua diesel ya Mazda soma kidogo kuhusu DPF

Baadhi ya picha:
Hii chini Moro. Zingatia Ground clearance ipo low sana.
PXL_20231118_143225943.PORTRAIT~2.jpg

Hii B'Moyo. Buti kubwa ila Baiskeli haitoshi lazima niitoe tyre la mbele.
PXL_20240324_123156384.PORTRAIT~2.jpg

Hii Ushoroba zingatia ground clearance.
PXL_20230730_103909077.jpg

Challenge so far:
1. Diesel inataka kuendeshwa sana. So kila weekend mbili after misele ya mjini lazima nipeleke Bagamoyo kwaajili ya DPF regeneration. Bagamoyo situmii zaidi ya wese la 20 kwenda na kurudi starting point Ubungo.

2. Ipo chini sana ila nishazoea magari ya chini. Sijainganyua na sina mpango.

3. Mazda issue ya rangi wanapaka rangi nyepesi sana so jiandae kuchubuka kifala sana. Waulize ata CX5.

4. Gari refu sana. Size kama Crown Majesta au katikati ya BMW 7 series na 5 series.

All in all, nikifananisha na 3 series, uyu nampa 7/10 wakati BM nampa 5/10 hivi. Wajerumani wakina PureView zeiss mtanisamehe. Sirudi Uko kamwe.

PS: Kama upo Ubungo siku njoo upige misele kidogo ufanye maamuzi.
 
Nimekaa nalo miezi 10 hadi sasa. Sijakutana na shida yoyote.

1. Ulaji wa mafuta ni subjective. Ila kwa mimi nilietoka BMW 323i cc 2500 Petrol ambapo mjini napiga 6km/L sahivi napiga 13km/L kwenye heavy traffic. Pia iStop inasaidia sana kupunguza ulaji wa mafuta. Highway napiga hadi 25km/L nikiwa natumia Adaptive Cruise Control.

2. Spare hadi sasa sio issue ila nishajua machaka yote ya spare. Oil natumia ya Castrol C3 5W30 kitu lainiii. Oil lita 5.1 ukibadirisha na filter haifiki 200K.

3. Speed imebaniwa ni 180km/L ila inatosha kabisa. Kwasababu natumia sana mjini highway ni weekend na road trips.

4. Last year niliupdate kwenye uzi wa road trip nilitoka Dar to Lushoto kisha Moshi Then Arusha then Manyara kisha Dom kisha Moro then Dar. Kwa wese la roughly Tsh 250k pamoja na misele ya mjini. Usieamini jiue.

5. Kabla hujanunua diesel ya Mazda soma kidogo kuhusu DPF

Baadhi ya picha:
Hii chini Moro. Zingatia Ground clearance ipo low sana.
View attachment 2949444
Hii B'Moyo. Buti kubwa ila Baiskeli haitoshi lazima niitoe tyre la mbele.
View attachment 2949445
Hii Ushoroba zingatia ground clearance.
View attachment 2949454

Challenge so far:
1. Diesel inataka kuendeshwa sana. So kila weekend mbili after misele ya mjini lazima nipeleke Bagamoyo kwaajili ya DPF regeneration. Bagamoyo situmii zaidi ya wese la 20 kwenda na kurudi starting point Ubungo.

2. Ipo chini sana ila nishazoea magari ya chini. Sijainganyua na sina mpango.

3. Mazda issue ya rangi wanapaka rangi nyepesi sana so jiandae kuchubuka kifala sana. Waulize ata CX5.

4. Gari refu sana. Size kama Crown Majesta au katikati ya BMW 7 series na 5 series.

All in all, nikifananisha na 3 series, uyu nampa 7/10 wakati BM nampa 5/10 hivi. Wajerumani wakina PureView zeiss mtanisamehe. Sirudi Uko kamwe.

PS: Kama upo Ubungo siku njoo upige misele kidogo ufanye maamuzi.
Kaka siku ntakuja tupige miselee nione wese la 20k linavoenda bagamoyo na kurudii
 
Back
Top Bottom