Naomba kujua kiwanda kinacho zalisha chupa tupu za Maji kinapopatikana

mara Nyingi unat
Ninashida na kujua ni wapi wanazalisha chupa tupu za maji ama juice nina shida na kijua walipo iliongee nao biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
mara nyingi ukiondoa chupa za glass,viwanda vyote vinavyotengeneza maji au juice na kuweka katika chupa za plastic uwa na mtambo wa kuzalisha hizi chupa (in house production). Omar PAcking wanaweza kukuzalishia ila again inabidi uwe na mould ya hiyo chupa yako husika.
 
Back
Top Bottom