Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,197
Ndugu zangu msinicheke naomba mniambie waht does IPP stands for, nimeulizwa nimeshindwa kujibu!
Haikuanza kama kampuni ya uzalishaji bali kama financial consultant na management (kusimamia uendeshaji) wakati huo ikiitwa Industrial Products Promotions. Baadae akaanza kumiliki biashara na pia aka-diversify mpaka kwenye media pia, kile kirefu cha IPP kikamezwa na hakijatumika tena kuitambulisha kundi hili la makampuni.
Kwa hiyo inabaki kuwa kama "neno" IPP Media na IPP Group of Companies.
Wandugu,
Mimi nina umri mkubwa kiasi, na niko Dar zaidi ya miaka 30 sasa. Nafahamu IPP ni group of companies zinazomillikiwa na bwaba R. Mengi. Lakini nini kirefu hasa cha IPP?
Help Please!
Muwe mnatafakari kabla ya kulaumu au kutoa comments! Nani kasema IPP ina miaka 30? Nimesema mimi nina miaka 30 Dar! Pia mbona wajuzi manjichanganya? wewe wasema Industrial Projects Promotion....mwenzako kasema Industrial Products Promotion! Ipi sasa?Industrial Projects Promotions = IPP
Hapo penye red nadhani utakuwa si mkweli! Kwa sababu IPP imeanzishwa si zaidi ya miaka 25!
Ndugu zangu msinicheke naomba mniambie waht does IPP stands for, nimeulizwa nimeshindwa kujibu!
GENTAMYCINE mbona jamaa yuko sahihi sema wewe hujui
zamani kirefu chake kilikuwa industrial products promotion but kwa sasa imebaki hivyo hivyo bila kuwa na kirefu chake kama ilivyo kwa CRDB haina kirefu
CRDB ina kirefu chake mdau,cooperative rural development bank..kama nimekosea naomba kusahihishwaGENTAMYCINE
mbona jamaa yuko sahihi sema wewe hujui
zamani kirefu chake kilikuwa industrial products promotion but kwa sasa
imebaki hivyo hivyo bila kuwa na kirefu chake kama ilivyo kwa CRDB haina
kirefu
Si kweli kwamba CRDB haina kirefu. Kirefu cha CRDB ni Cooperative Rural Development Bank.
GENTAMYCINE mbona jamaa yuko sahihi sema wewe hujui
zamani kirefu chake kilikuwa industrial products promotion but kwa sasa imebaki hivyo hivyo bila kuwa na kirefu chake kama ilivyo kwa CRDB haina kirefu
Sawa,
Lakini maana ya jamaa ni kwamba kutokana na soko lilivyo kwa sasa, hivyo virefu havi'apply.. Zimebaki tu kama abbreviation sio brand..
Si kweli kwamba CRDB haina kirefu. Kirefu cha CRDB ni Cooperative Rural Development Bank.
Weka picha;
CRDB ina kirefu chake mdau,cooperative rural development bank..kama nimekosea naomba kusahihishwa