Naomba kujua hili

Posho City

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
646
415
Wadau jf
Mimi ni mwalimu mwenye diploma,nimefundisha miaka mitatu baadae nkaenda UDOM nkasoma kozi ya BACHELOR OF ADULT EDUCATION AND COMMUNITY DEVELOPMENT na niliichagua kozi hii kwa kuipenda.
Natamani nkafanye kazi taasisi ya elimu ya watu wazima.Juzi nimeenda makao makuu ya taasisi ya elimu ya watu wazima dar ili nione kama wanaweza kunipa kazi wakaniambia siku hizi kazi hadi zitngazwe na tume ya ajira.
Je nifanyeje ili nitimize kiu yangu ya kudeal na adult learners?
 
Back
Top Bottom