Mkuu kwa hapa Tanzania BBC FM haipo.Ila haimaanishi kuwa hauwezi kupata BBC radio station.
Jinsi ya kupata ni kama una radio ambayo ina range pana ya frequencies.
Radio ikiwa na range kubwa ya frequencies unaweza kupata radio station yoyote ile hapa duniani.
Ila hautopata hiyo radio station kwa frequency ya FM bali other frequencies. Jaribu kuweka MW,SW¹,SW²-SW⁷ frequencies.