Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la Ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
806
805
Naomba kufahamu yafuatayo kuhusu Baraza la ardhi la Kata na Baraza la ardhi la Wilaya:
1. Wajumbe wake wanapatikanaje.
2. Idadi ya wajumbe.
3. Muda wa kazi kabla ya kubadilishwa/kuondolewa ni miaka mingapi.
4. Majukumu/kazi zake.
5. Malipo yao.
Na mengineyo kama yapo.
 
Ngoja waje wajuzi
 
Back
Top Bottom