Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,290
- 13,860
Sio rahisi kuchonga ufunguo wa gari na pikipiki ya mkoloni, unaweza kuchonga funguo za magari na pikipiki za mjapani, mchina, mhindi
Mimi niliibiwa gari mwezi 12 mwaka 2020,Habari wakuu.
Kuna kitu hua nashindwa kukielewa hasa wizi wa magari.
Je wizi wa gari unafanyikaje kama gari imefungwa.
Je unakutamwizi ana funguo ya ziada ama nini kinafanyika.
Je kwa gari ambazo ni keyless za push to start pia zinaibiwaje maana nyingine kama hujaingia na ufunguo haiondoki.
Naomba kufahamishwa wizi unafanyikaje.
Ahsante.
Ntakuja kukuelezea...
HawashindwiKeyless Entry Remote, sijui wataibaje.
Teknolojia invyoongezeka na wezi nao wanajiongeza.Keyless Entry Remote, sijui wataibaje.
Wezi wanaakil nying sana,yaan wamevunja gari na wakavunja na geti afu hakuna aliesikia,tuwe tunafuga mbwa kumbe znaweza saidia japo kdogoMimi niliibiwa gari mwezi 12 mwaka 2020,
Ndani ya geti walivunja kioo cha gari na kutoa lock.naamka asubuh nakuta vipande vya kioo tuu chuma haipo na ilikua bado mpwa
Wezi wanaakil nying sana,yaan wamevunja gari na wakavunja na geti afu hakuna aliesikia,tuwe tunafuga mbwa kumbe znaweza saidia japo kdogo
Sio hadi kuchonga tu finguo kama ya gari yako! Wana finguo kibaoKuna dada mmoja alikua anadrive harrier..bas akawa anampelekea kaka mmoja aioshe...anamwachia anarudi zake kazini...huyu dogo alikua form 6 leaver hana mishe....
Anahvyodai walitokea wakaka wakamwambia huu ndo utajiri wako... wakamfundisha ulaghai...naskia kichonga key ni dk 1...so wakachonga key wakamchorea ramani fresh...mwaka.jana dada wa watu kaibiwa gari akiwa kazini...
Naskia ni risk mno kumwachia gari na keys muosha magari..wanachonga keys unakuja ibiwa siku isiyo na jina....dogo yuko ndani mpka leo
Umakini kaka1. Alarm system...kuna kifaa chenye nguvu kubwa zaidi ya alarm uliyofunga hicho kikisetiwa alarm yako inakuwa boko watu wanafanya yao
2. Kwenye carwash na garage za uchochoroni, ukiacha funguo vijana wasio waaminifu wanaikandamiza kwenye kipande cha sabuni au wanaichora kwenye karatasi wanawapa wezi wakachonge nyingine, kifuatacho hapo ni kilio
3.Keyless/push start wanakuwa na kijimtambo kidogo cha kuhack hiyo system na kui command watakavyo, baada ya hapo wanaamua tu sasa wafanye nini kwenye hiyo gari
4. Japo kwa uchache sana, unavamiwa na kuporwa gari live
Hiyo ya mil 40 ukiamka asubuhi una ikuta imechinjwa! Huto amini broOkay.
Gari za milioni 6, milioni 7 hadi 9.
Kumbe nisiwe na wasiwasi na gari yangu ya 40m.
Wanaweza wasiitumie, bali wakaibucha (wakaitawanya) then mlango unauzwa Tegeta, Engine shaurimoyo kwenye used spares, Rimu Temeke kwa waziba pancha, vikorokoro vingine vitatawanywa kwa mujibu wa vinauzika maeneo ganiHalafu anaitumia wapi hiyo gari?
Mafundi umeme wa magari wanaweza washa gari bila funguo wezi wakifanikiwa kufungua mlango wa gari hasa wa dereva.Sio hadi kuchonga tu finguo kama ya gari yako! Wana finguo kibao
Mkuu hii si unafunga kwenye gari ama kwenye nyumbani ndani ya getiCha msing kama mdau alivosema kufunga motion sensor ambazo pia n bei rahisi sna ukienda africable wanauza 30,000+ kingora nlinunua kariko 40,000 na taa moja 17,000 umemaliza kazi ukiongeza na car track kidogo ulizi utakuwepo