Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Ashaliwa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Itakuwa Magu kapata taarifa za wizi wa huyu jamaa maana hakutoa sababu zozote!! Jamaa ni Mwizi hatari ana mijumba ya kufa mtu,halafu ujenzi wake anaanza from scratch hadi anamaliza hakuna kupumzika akishamaliza anahamsha ujenzi sehemu nyingine nako mwanzo mwenga hakuna kupumzika!! Halafu Mijengo ya maana 600m+
 
laana ya Akwilina
 
Huyu Mkurugenzi ndo alisababisha kifo cha Akwilina..._cry_ ( 800 X 640 ).jpg
 
Itakuwa Magu kapata taarifa za wizi wa huyu jamaa maana hakutoa sababu zozote!! Jamaa ni Mwizi hatari ana mijumba ya kufa mtu,halafu ujenzi wake anaanza from scratch hadi anamaliza hakuna kupumzika akishamaliza anahamsha ujenzi sehemu nyingine nako mwanzo mwenga hakuna kupumzika!! Halafu Mijengo ya maana 600m+
Awam hii kna watu wanapiga sema tatizo washmb wageni wa mambo,wanapiga double double

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Ikumbukwe kwamba uzi huu uliandikwa kabla ya mauaji ya akwilina , hii ni kwa sababu mipango yao yote ilivuja mapema
 
Ninavyojua huyu jamaa alizaliwa; ktk dhuluma, anaishi ktk dhuluma, atakufa ktk dhuluma, atazikwa ktk dhuluma na jehenam kutakuwa ndio makao yake milele.
 
Back
Top Bottom