Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Tangu lini mmekuwa mkibaki na viapo vya hao mawakala? Kama ni makaratasi si muwape, kama makaratasi hayo sio muhimu, kwanini mnayang'ang'ania?
Mkuu nadhani huwezi kupewa kiapo na aliyekuapisha akabaki bila kiapo. Sababu siku ukikiuka kiapo chako ile nakala ndiyo itatumika kama ushahidi kuwa uliapa hutofanya ABC.

Mfano waulize waliosimamia uchaguzi, utabaini viapo hubaki kwa waapishaji. Hata wale walimu waliowahi kusimamia Mtihani wanajua kuwa wakimaliza kuapa viapo vyote hukisanywa na hawapewi hata nakala. Maana hizo ndiyo zitatumika baadaye endapo atakiuka kiapo chake
 
Kumbe kwanini basi mawakala hutakiwa kuonyesha viapo siku ya kusimamia uchaguzi? Hujawahi kusikia kwamba mawakala wa vyama fulani wamezuiwa kwa sababu ya kukosa viapo? Hebu nielimishe zaidi!
 
Umesahau na ile ya yeye kuwahi kuwa mkurugenzi wa halmashauri huko Bukoba. Ila dhambi ya usaliti lazima itakuwa inamtesa na yule mbunge Mtulia maana kifo cha yule binti na yote yaliyotokea baada ya kifo hicho source ni wao.
 
Back
Top Bottom