Naomba kufahamu wasifu wa Aron Kagurumujuli, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

Mwaka huu mtaomba CV nyingi sana. Hoja uliyoleata ni dhaifu na haina mashiko. Mipango ya gizani wewe unayajuaje umekuwa giza?
Jamaa washaandaa hoja nzuri za kulalama baada ya kushindwa wakati uchaguzi bado. Ni sawa na mtu kutungua kilio msibani kabla hujajua marehemu ni nani!
 
Ya Mbowe kama hujui basi labda ni wewe tu , Mbowe ndio kiboko aliyeipoteza ccm kwenye ramani , wamechanganyikiwa kiasi cha kuvamia hadi bustani za mchicha .
Kumbe ccm imepotea kwenye ramani? kesho mda kama huu ID nyingi zitakuwa zimebadilishwa.
 
Inasemekana huyu ndio Mkurugenzi wa kwanza kuwahi kuwepo kwenye Manispaa ya jiji la DSM na kutokomea na Viapo vya mawakala wa chama cha siasa walioapa kihalali ili kusimamia chama chao kwenye vituo vya kupigia kura kama sheria inavyoelekeza.

Taarifa zaidi zinadokeza kwamba , kama atatekeleza mipango yake anayoipanga gizani kuhusiana na uchaguzi wa Kinondoni , basi jina lake laweza kuingia kwenye kitabu cha kumbukumbu za Watanzania watakaokumbukwa kwa kitambo kirefu

Kutokana na uzito wa aibu aliyojitwisha kijasiri ili kuokoa chama chake cha ccm , nimeona nije kwenu ili tumfahamu vizuri mtu huyu mtiririko wa utendaji wake pote alipopita ikiwa ni pamoja na kiwango cha elimu yake pamoja na shule alizopitia .

Natanguliza shukrani .

Marekani wamesha anza kuhoji nini kimeikumba Tanzania ya Nyerere
 
UJINGA NI PALE MNAPOACHA HOJA ZA.MSINGI NA KUANZA KUMJADILI MTU. KAGURUMJULI HE'S EDUCATED ENOUGH NA ANA EXPERIENCE YA NGUVU, USIFIKIRIE ALIIBULIWA TU. CHAPA KAZI JENGA NCHI YAKO SIO KUTAKA KUJADILI WATU ALAFU MWISHO QA SIKU MNALALAMIKA VYUMA VIMEKAZA SIJUI NINI KUMBE NI UJINGA WENU WENYEWE
Jana kasababisha watu kufa ongezea kwenye CV yake
 
Tatizo mnashambulia matokeo badala ya chanzo. Ana akili timamu na elimu nzuri tu lakini afanyaje sasa kama katumwa na mwenye mamlaka ya kusitisha ajira yake?
 
Pia ni

Mzee wa totoz sana;

Kipindi kile yupo pale UDSM 2002/2003 to 2005/2006 BED - ADE amekamua sana vibinti vya mabibo akitumia mark II yake kama chambo cha kuwanasa warembo by then akitokea shinyanga as afisa elimu watu wazima kwenye wilaya moja wapo.

Baadae alienda Arusha kama afisa elimu pale mkoani....baada ya ku graduate pale UDSM kwa kuhonga pale wizara ya elimu.

Baadae akahonga tena ndio katolewa arusha kuja hapa mjini dar as afisa elimu then baada ya ya yule mkurugenzi wa kinondoni kusimamishwa ndio yeye as afisa elimu ka kaimishwa hapo kinondoni.

Kifupi ni kuwa namjua sana Kagurumjuli , alikuwa classmate wangu miaka hiyo hapo UDSM na wala sio TISS kama hao walivyodanganya ila tu ni mtu mjanja mjanja sana wa kujua kucheza step za mziki kadiri ya mazingira na ni fighter sana wa position za kiutawala kiujanja ujanja. Ana degree moja tu ya elimu akispecialize in adult education.

Pia by then ilishafahamika kuwa kaungua na alikuwa na speed ya hatari kula ili kusambaza ila yeye kinachomsaidia ni carrier hvyo sio rahisi kutambulika mapema ila kama demu akimpitia tu after 3 month akipima tayari lazima aanze dozi ya matumaini.

Kifupi huyo ndio kagurumjuli ; mate wa UDSM 2002 to 2006 watakubaliana na mimi hasa wale wa faculty ya education
n MTU wawapi?
 
Kama tulivyosema awali jina la Kagurumujuli litabaki kwenye kumbukumbu za watu wengi kwa kitambo kirefu sana , hata kama misheni yake haikutimia kama alivyotumwa .
 
Back
Top Bottom