PAINIA WAKWELI
Member
- May 30, 2012
- 27
- 4
inakuwaje watu wanashindwa kujamiiana?je tatizo hili lina tiba?je linawapata wanawake pia?naomba kusaidiwa.
mbona mashahidi wayehova wana mapainia wa kike? yaani unadinda akikutana na mwanamke unasinyaa!!!? pengine tatizo la kisaikolojia au mazingaombwe sidhani kama huo tutaita uhanithiPainia hawezi kuwa wa kike,je haiwezekani uume kudinda af bado mtu akawa *******?yan akikutana na mwmke unasinyaa?
Tatizo kam ni hilo itabidi umwambie huyo mtu awasilianena mimi kwa njia ya email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) hapa kwenye hili jukwaa huwezi kuipata dawa yake .......... PAINIA WAKWELIBac kuna mtu tatizo lake liko hivyo na anahitaji kusaidiwa.unaweza ukamsaidiaje?
Shukrani ntampatia!
tatizo kam ni hilo itabidi umwambie huyo mtu awasilianena mimi kwa njia ya email yangu ni hii (fewgoodman@hotmail.com) hapa kwenye hili jukwaa huwezi kuipata dawa yake .......... PAINIA WAKWELI
inakuwaje watu wanashindwa kujamiiana?je tatizo hili lina tiba?je linawapata wanawake pia?naomba kusaidiwa.
Pamoja na Faida ya wengi Kila kitu kina Siri na Masharti yake kuna Dawa za kuanika kila mtu ajuwe na kuna Dawa zingine hazianikwi uwanjani kila Dawa ina Masharti yake Mkuu... Mtaftajikwa faidaya wengi mkuu hp hp jamvini haina haja ya kwenda nyuma ya pazia.
inakuwaje watu wanashindwa kujamiiana?je tatizo hili lina tiba?je linawapata wanawake pia?naomba kusaidiwa.
Sikia Painia: Kuwa M.se.nge ama Msagaji inaweza kuwa categorized as a disease katika mila zingine na kitaaluma hawa watu (wa.se.nge/wasagaji) wanasadikiwa kuwa wana psychological/biological disease. Kumbuka, straight people don't turn gay as gay people don't turn straight. Mwanamme anayezaliwa na huu ugonjwa mara nyingi anaishi kwa kujidanganya maana hataki jamii ijuwe kuwa yeye ni m.se.nge, but as mda goes by ana develop zile feelings za kupenda wanaume wenzake. Usishangae kuona huyu mtu ana mke wa ndoa na mjanja kishenzi kwa mademu huko nje lakini usiku ukiingia anapinduliwa na wenzake ama kushikishwa ukuta. Kitaaluma, hawa watu huitwa homophobics. Anajifanya dume la mbegu kumbe anashikishwa ukuta na vitoto vya mtaa pale hisia zikimjaa. Kwa kweli mpaka hivi sasa wana science duniani hata sie madaktari wa humu chuo kikuu cha jamii (JF) bado hatujapata ufumbuzi as to why mtu anakuwa confused na kupenda same sex zaidi ya kusema ni ugonjwa wa akili. Ukija hapa kwetu, kuna watu (masangoma) wanatumia science fiction (uchawi) kuroga akili za mtu fulani ili awe m.se.nge, so you can see the relationship as to why unaitwa ugonjwa wa akili. Na ukiangalia kiundani zaidi unaweza kukubali ni hivyo; kwani wewe Painia kama mwanamke/mwanamme iweje uwe na hisia za kushughulikiwa na mtu wa jinsia yako? Au jiulize kwa nini mwanamme (homophobic) aliyeoa mke wa ndoa achukue ndizi au dildo (mboo feki) ajishindilie mkunduni wakati mkwewe akiwa hayupo? Au kwa nini mwanamke amshindilie ndizi au dildo mwanamke mwenzake wakati wanaume wa kumpa penzi mwanana kitandani wapo? Kuna wengine wanaweza kusema labda ni curiosity, lakini curiosity gani ya kujishndilia ndizi mkunduni? Kwa utamu upi huo? Kwa hiyo, kwa kifupi naweza kusema u homophobic ni a psychological thing na ndiyo maana wachina wanatibu hawa watu kwa accupunture as a psychological disease na wanapona according to them (madaktari wa kichina). Samahani kama nimewakera wa.se.nge waliojificha.
Hanisi ni neno la kiarabu kwa kiswahili tunaweza kusema ni mtu asiweze kudinda Uume wake ni ugonjwa unaweza kutibika na upo Uhanithi wa kuzaliwa kwa mfano, Mtoto wako wa kiume kwa imani ya kiswahili kitovu kikimuangukia kwenye uume wake anaweza kuwa Hanisi. Na kuhusu hilo tatizo haliwapati wanawake. nakuuliza swali je wewe muulizaji ni Mwanamke au Mwanamme?. PAINIA WAKWELI
Wewe nae kila siku una post mada za kidaktari hapa nikadhani mtaalam wa kisayansi kumbe mganga wa kienyeji! Halafu tunashanga mpaka wagonjwa wa upele wanapekwa India. Wataalam wetu bado wanategemea imani za kichawi chawi!kwa imani ya kiswahili kitovu kikimuangukia kwenye uume wake
H*nithi na Ms*nge ni watu wawili tofauti. Uhanithi tunaongelea uwezo wa mtu kudinda au la, unaweza ukawa h*nithi (huwezi kudinda) lakini sio ms*nge, wapo wengi tu kwa matatizo ya kisukari, kansa ya prostate, kansa ya kende/pumbu, ajali etc ambao hawawezi kudinda..lakini sio was*enge! Us*enge ni kuingiliwa kinyume na maumbile (kulawitiwa)...unaweza ukawa 'rijali' (unadindisha kama kawaida) lakini unapenda wanaume wenzako wakulawiti!