Naomba kufahamu juu ya biashara ya stationery

Namaanisha usinunue mzigo mkubwa ambao mzunguko wake utakua mdogo,heri ukawa na cash hata 3M kwa ajili ya zabuni ndogo ndogo ama zile kazi za haraka zenye faida ,zabuni ukiwa mwepesi zipo mpaka za mtaji wa laki 3,4....
Pia kuwa na leseni inayokuruhusu kufanya kitu zaidi ya kimoja
Nimekusoma
 
Boss hizi zabuni unapataje?
 
Boss hizi zabuni unapataje?
Zipo njia tofauti tofauti,
1. Nest
2. Physical visit kwa wanaoweza kuwa wateja ,na wasiotuma kazi zao mtandaoni
3. Majukwaa ya Tenda mtandaoni mbali na nest
 
Nimejaribu kufuatilia kuagiza hizi rim tuka chini ni gharama sana unless unaagiza contena zima ambalo la sq 20 linabeba rims 8000 kwahiyo ukiwa na huo mtaji atleast ndio unaweza kudouble the capital
 
Rim sio lazima uchukue kwa ukubwa huo boss,
Nunua kwa oda tu, na tafuta supplier wako mmoja ambae atakupa bei nzuri kila unapohitaji
 
Shida inakuja kwenye kusafirisha kwenye meli CBM 1 ni kama dollar 400 sasa rim zinachukua nafasi kubwa sana kwahiyo utajikuta unalipa dollar 400 kwa idadi ndogo ya rim tofauti na ujichukua container Zima unalipia labda dollar 3000 lakini una uhakika kudouble the money ukimaliza mzigo
 
Mkuu,naomba makadirio ya gharama ya kontena 1 la rim na faida zake likifika dar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom